Kwanini ndizi mshare hazipatikani Kanda ya Ziwa?

Kwanini ndizi mshare hazipatikani Kanda ya Ziwa?

Haya matoke mshare mnayependeaga nn madude magumu Kama nn.ndizi bukoba is the best hata kibogoyo anakula vzuri tu.kula ndizi Kama lunch au dinner ni dalili namba moja kuu ya umaskini.Over
Kula ndizi mshare, chakula ghali kuliko mchele ni umaskini? Labda kama unamaanisha kinyume chake!
 
Nimepakumbuka Rombo.... na Moshi yote kiujumlaa
 
Tembea uone.

Mimi mpaka leo nashangaa hao wa rugaruga wana kula je hizo ndizi ngumu kama miogo, mwanzoni ni lidhani na kwa ajili ya walevi kukatia hungerover zao za pombe, mpaka nilivo ona mama mjamzito naye anazila ndo ni kajifunza kwamba.

Hujafa hujaumbika
Hakuna ndizi ngumu kama ndizi mzuzu
 
Back
Top Bottom