King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Jamani kwa dunia ya sasa ilipo ,kwa sayansi iliyofanikiwa kutoa matokeo mazuri duniani ,MI NIMESHINDWA KUAMINI KAMA NI KWELI NDEGE IMESHINDIKANA KUPATIKANA AU KUNA HILA ZINGINE.......?
Ndio hapo sasa uamini na ile sayansi ya kiafrika kuwa ipo, manake watu ni wabishi sana!
Wik Mbili Nzma Kweli Binadamu Ndo Wakuogopeka Na Sio Mnyama Ivi Kama Ni Ugaidi Uitweje Huo Au Ndo Ivo Mambo Ya Miujiza ?
Sitak Kujua Sana Let Me Still In My Tz Amani Itawale Tu, Maana Mpaka Uko Kwenye Matecknolg Yame Shndwa Ndo Ije Kua Hapa Tz Duh
hiyo ndege si ndo yule alieenda nyumba ndogo mpaka leo kagoma kurudi home duu kazi ipo..
hiyo ndege si ndo yule alieenda nyumba ndogo mpaka leo kagoma kurudi home duu kazi ipo..
Atueleze ndege ilipo asilete utani hapa!!
mkuu unaumwa kifudufuduLabda mwewe kakwapua
Wanasema inawezekana ilikuwa hacked kwakutumia smartphone!
.
.