Na treni mbona haina mkuu...
Aisee,pale mbele kwa rubani Kuna kitu Kama dirisha/kioo ambacho anaweza kuchungulia nje,chini Kuna ground Injinia ambaye huangalia usalama Ili ndege moja isigonge nyingine..angani ndege huruka kwa kuongozwa na waongoza ndege kwahiyo aina haja ya side mirror,angani rubani akitaka kukata kulia/kushoto,kushuka chini,juu rubani anaomba kwa waongoza ndege na kuluhusiwa...