Kwanini nchi za watu weusi duniani ndio nchi masikini zaidi?

Kila kitu tulichokijaribu katika mfumo ule kimekufa , Ikiwemo miradi isipokuwa chama na katiba hiyo yenye elements za kikoloni. Lakini mpango wa kuifanya nchi hii iwe mahali pazuri pa kuishi. HAKUNA !
Kwa nini mfumo huo ulikufa?
 
Wapi ulisoma wameandika mwaafrika ametokana na nyani ?
Usiwe mvivu wa kusoma kama wabunge wa ccm, katafute edition yote ya Charles Darwin isome halafu uoneshe ni aliposema mwafrika anatokana na nyani
Dah we jamaa bhana... sasa wewe kumbe uko locked hapo kwenye Darwinism tu!? Na vipi hujawahi kupitia machapisho ya homo erectus na homo habilis..zinjanthropus et al.. na pia ishu ya Adam na Eden?

Haya yote lengo lake ni moja tu, to make us Africans as followers and not leaders. Huo ndio ubinafsi wao, utapeli, uongo ,roho mbaya na uzandiki. Kufanya Afrika kuwa tegemezi kwao, kuwa duni mbele yao.

Mfano wa juzi tu hapa hii corona, hadi wao wagundue tiba/chanjo..kwamba wao ndio watoe uamuzi wa mustakabali wa dunia nzima. Afrika tusubirie tu kuletewa chanjo za majaribio..hata tusihangaike kutafuta suluhu ya janga hili..tuwasubirie wao tu.
 
Kwa sababu hawana akili wana akili ya kuvukia barabara
Habari Wadau,

Katika kufanya Tafit zangu nimegundua kua nchi nyingi za watu weus ni Maskin na kubaki na swali la kwanini sisi watu weusi.

Mfano Bara la Africa ukiangalia kuna nchi nyingi tu ila asilimia kubwa nchi za watu wenye asili ya weupe wote wana maendeleo japo wamepakana na nchi za watu weus, sababu ni nin?

Watu weus tunakwama wapi?
 
Swali liko wazi na sababu za umaskini ziko wazi ukisoma tu jinsi watu wanavyochangia.

1. Hatuna akili tumejaa upumbavu

Hili halifichiki.Swali limeulizwa kwa nini waafrika..?Mtu anakuja na majibu ya kuharibu mjadala kwa kusema Tundu Lissu anatumiwa na mabeberu!
Mjadala unabadilika na kuwa wa mihemko ya kampeni za uchaguzi.Unadhani ni lini tutapata nafasi ya kujiuliza changamoto za ukweli zinazotukabili na tukakubaliana hatua bora za pamoja kuzitatua?

2. Hatuthamini elimu bali vyeti.

Ukiangalia vizuri,utaona maktaba zetu za shule na vyuo,zimejaa vitabu vya zamani sana.Tunasoma yale yale.Mitaala yetu inataka tukamilishe mambo fulani ili mwanafunzi akiulizwa swali,ateseke kidogo kupata jawabu.Ikishakuwa hivyo,basi tunaamini ameshapata elimu.

Mitihani inapima uwezo wa mtu kukumbuka.Hata kama anakumbuka ujinga,haijalishi ili mradi huo ujinga umeulizwa kwenye swali.Akifaulu anapewa A.

Hakuna elimu inayojali mahitaji ya sasa.Kama ipo inabidi watu waende nje ya nchi kuitafuta.Ila asilimia kubwa tunasoma ujinga ambao hata mtu akimaliza chuo,hatakutana nao kazini wala katika maisha.Mambo anayokutana nayo, chuoni yalipewa nafasi ndogo au kupuuzwa kabisa. Maana yangelifundishwa, huenda wanafunzi wangefaulu kwa urahisi kwa kuwa wanakutana na mambo yanayohusiana na maisha yao.Sasa kuna watu wanataka kuona hupati cheti bila kupitia mateso.

3. Uvivu wa kufikiri.

Tuna ugonjwa huu,sijui umejikita sana hapa Afrika kwa nini.Ila hatupendi kufikiri,wala kujaribu tu kufanya hivyo.

4. Roho za wivu,husda na visasi.

Tunafurahi sana kusikia mtu ameshindwa.Wengi wakisikia mtu aliyefanikiwa ameanguka,hupata furaha sana. Sijui hii ni laana ama ni nini
 
Habari Wadau,

Katika kufanya Tafit zangu nimegundua kua nchi nyingi za watu weus ni Maskin na kubaki na swali la kwanini sisi watu weusi.

Mfano Bara la Africa ukiangalia kuna nchi nyingi tu ila asilimia kubwa nchi za watu wenye asili ya weupe wote wana maendeleo japo wamepakana na nchi za watu weus, sababu ni nin?

Watu weus tunakwama wapi?
Bro nenda Asia ukaone Kuna nchi Bora ya hizi unazosema nenda Loas, nenda Bangladesh nenda Yemen ukaone
 
Dah we jamaa bhana... sasa wewe kumbe uko locked hapo kwenye Darwinism tu!? Na vipi hujawahi kupitia machapisho ya homo erectus na homo habilis..zinjanthropus et al.. na pia ishu ya Adam na Eden?

Haya yote lengo lake ni moja tu, to make us Africans as followers and not leaders. Huo ndio ubinafsi wao, utapeli, uongo ,roho mbaya na uzandiki. Kufanya Afrika kuwa tegemezi kwao, kuwa duni mbele yao.

Mfano wa juzi tu hapa hii corona, hadi wao wagundue tiba/chanjo..kwamba wao ndio watoe uamuzi wa mustakabali wa dunia nzima. Afrika tusubirie tu kuletewa chanjo za majaribio..hata tusihangaike kutafuta suluhu ya janga hili..tuwasubirie wao tu.
Acha ushabiki wa kijinga na kijitengenezea hisia za kuonewa.
Ni nchi gani Afrika iliyotaka kutengenezwa dawa halafu wazungu wakaikataza ?

Ok tufanye wameikataa dawa inayotengenezwa Afrika, sisi pia kinatushinda nini kukataa dawa zinazotengenezwa nje ya Afrika ?
 
Tamaa, tamaa, tamaa na ubinafsi.

Viongozi wengi wengi wa kiafrika wanajiangalia wao na familia zao. Ndio maana hata ukizungumzia issue za muingano labda useme Afrika iwe moja, kila mmoja wao atapinga kwakua wanajua hatakua na mamlaka kamili ya kujichumia mali kama ilivyo sasa.

Hebu angalia hata katiba zilivyo. Zipo kwaajilia ya kuwalinda viongozi na sio wananchi
 
Usalama wa taifa kufanya kazi ili kuwalinda viongozi
Viongozi wakishapewa nafasi wanatumia kufuja mali
Viongozi kudanganyika na uchumi wa makaratasi (GDP)
Viongozi kuwa na tamaa
Wananchi kudanganyika
Kutegemea misaada
Kuiamini ngozi nyeupe ndio pekee inaweza kuwekeza (Muhongo mpaka leo simpendi sababu ya vitalu vya gesi)
Dini kutumika kutudumaza
Rushwa kutawala na kupelekea kuchagua watu wa hovyo.
 
Unategemea nn kwa viongozi was aina hiii???
IMG_20201004_081432.jpg
 
Acha ushabiki wa kijinga na kijitengenezea hisia za kuonewa.
Ni nchi gani Afrika iliyotaka kutengenezwa dawa halafu wazungu wakaikataza ?

Ok tufanye wameikataa dawa inayotengenezwa Afrika, sisi pia kinatushinda nini kukataa dawa zinazotengenezwa nje ya Afrika ?
Hahaha wewe jamaa hujielewi wewe. Ninashabikia kitu gani sasa hapa? Ile dawa ya Madagascar vipi? Tukatae dawa ki vipi sasa wakati washaweka mfumo wa kushikilia interests zao? Unaijua kazi ya WHO na organs nyingine za aina hiyo? Zipo kwa ajili gani? interests za nan
 
Hiki ni kipande nimekitoa kwenye uzi wangu.

Sababu ni hizi.

Je, tatizo ni nini? ni kitu gani kinachosababisha bara hili kuwa masikini kiasi hiki?

Haya ni mambo matatu yanayoweza kuwa chanzo cha yote.

1: JE, NI ELIMU?
AFRICA imekuwa iikitumia elimu ile ya mkoloni. elimu ambayo ipo ili kuandaa watu waje kufanya kazi ya mtoa elimu huyo yani mkoloni. na sio elimu ambayo itakujenga kifikra au kiakili. Sio elimu itakayokujenga uwe mbunifu na kutumia ubunifu huo kutatua changamoto zako na za jamii yako. elimu itakayokufanya ujitambue ili ujitegemee utegemee akili yako binafsi. HAPANA bali ni inayokuandaa kuwa mtumwa uliye advance.

Hadi leo elimu hii inafanya kazi ya kukalilisha watu mambo ambayo hayana impact kwenye maisha yao zaidi ya kwenda kuomba kazi ambayo ataifanya maiha yake yote mpaka kufa kwake.

Hivyo nadhani elimu ni tatizo kubwa linalotufanya tuendelee kubaki hapa tulipo. Hivyo suluhisho ni kubadilisha mfumo mzima wa elimu yetu hii tunayoitumia.

2: JE, NI SIASA?
Africa bado tunafanya siasa ambayo haina tofauti na ukoloni. Viongozi wetu wote wanafanya mambo amabayo yana asili ya ukoloni ndani yake. UFISADI, RUSHWA, MASLAHI BINAFSI na WIZI bado vipo ndani ya siasa ya Africa.

Mwanasiasa anaiaba pesa anakwenda kuweka nje AFRICA. Uchumi wetu karibu asilimia 60% upo nje.

Siasa nalo ni tatizo pia. na tatizo hili linatokana na ELIMU ambayo nimeelezea hapo juu. Viongozi na wananchi ni zao la elimu ya mkoloni ambayo haimjengi mtu kujitambua{self awareness} Haimjengi mtu kutumia akili yake ipasavyo kama nilivyosema juu.

Hivyo siasa ni tatizo linalotoka na elimu yetu. solution ni kubadirisha mfumo wetu wa elimu. Alafu tutakuwa tumepiga ndege wawili kwa jiwe moja.

3: JE, NI DINI?
AFRICA tumekuwa tunatumia dini zilizoletwa na Mkoloni.{DINI ZOTE} dini ambazo zimeletwa ili kujenga hofu {fear} kumbuka ukitaka kumuendesha na kumteka mtu basi anza kumteka akili kwa kumjengea hofu.

Hivyo dini ni ya mkoloni ni jambo ambalo linachangia kwa kiasi chake kulibakiza BARA letu pendwa kuendelea kubaki nyuma na kubaki kuwa masikini miaka yote. dini imejenga mitazamo kwa watu ambayo ni migumu kung'oka. Solution ni ngumu kwa hapa sababu hii kitu ipo kwenye damu na imani amabayo ni ngumu kuibadirisha.

MFANO mdogo ni pale ambapo Mwafrika anakutwa na tatizo na kushindwa kuitatua sababu ana imani litatatuliwa na hicho anachoamini. Hii inapelekea kubweteka na kusubiria hivyo kubaki na tatizo hilo milele.

Hayo ni mambo matatu makuu yanayosababisha Afrika kuendelea kubaki nyuma kila siku. wewe Mwafrikaunadhani ni nini kinacho
sababisha afrika kubaki nyuma mpaka leo hii kwani miaka karibu 60 imepita tangu Mkoloni aondoke Tanzania na nchi baadhi za
Afrika.
 
Habari Wadau,

Katika kufanya Tafit zangu nimegundua kua nchi nyingi za watu weus ni Maskin na kubaki na swali la kwanini sisi watu weusi.

Mfano Bara la Africa ukiangalia kuna nchi nyingi tu ila asilimia kubwa nchi za watu wenye asili ya weupe wote wana maendeleo japo wamepakana na nchi za watu weus, sababu ni nin?

Watu weus tunakwama wapi?
Nakupa mfano nchi ya Haiti ipo karibu sana na USA, lakini..... We acha tu Mungu wetu ndie ajuae
 
Habari Wadau,

Katika kufanya Tafit zangu nimegundua kua nchi nyingi za watu weus ni Maskin na kubaki na swali la kwanini sisi watu weusi.

Mfano Bara la Africa ukiangalia kuna nchi nyingi tu ila asilimia kubwa nchi za watu wenye asili ya weupe wote wana maendeleo japo wamepakana na nchi za watu weus, sababu ni nin?

Watu weus tunakwama wapi?
Acha unafiki Kuna nchi ya kiarabu,India ndani huko,Afghanistan,Bangladesh umasikin hata Africa nafuu Seema hamfatilii habari mujionee au hampekui mnakremisha tu
 
Back
Top Bottom