Kwanini nchi za watu weusi duniani ndio nchi masikini zaidi?

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
792
1,000
Habari Wadau,

Katika kufanya Tafit zangu nimegundua kua nchi nyingi za watu weus ni Maskin na kubaki na swali la kwanini sisi watu weusi.

Mfano Bara la Africa ukiangalia kuna nchi nyingi tu ila asilimia kubwa nchi za watu wenye asili ya weupe wote wana maendeleo japo wamepakana na nchi za watu weus, sababu ni nin?

Watu weus tunakwama wapi?
 
Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,944
2,000
Lissu alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu kuwatetea bungeni ,wakati Rais Magufuli akitupigania

Lissu alikuwa anakutana na Mabeberu kufanikisha wizi wa kisheria

Dhambi ya usaliti ilionekana wakagombana wao kwa wao
Lissu amewahi kuongoza serikali ipi akaifukarisha nchi ?!. Waliowapa mabeberu madini yetu kwa mrahaba wa 3% ndiyo wameleta neema ?!. Kushabikia watawala lazima uwe na kipaji cha ujinga
 
Brasso

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
264
1,000
Kama wewe tu ulivyo maskini wa kufikiri shtuka kijana bado mapema.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,371
2,000
Lissu alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu kuwatetea bungeni ,wakati Rais Magufuli akitupigania

Lissu alikuwa anakutana na Mabeberu kufanikisha wizi wa kisheria

Dhambi ya usaliti ilionekana wakagombana wao kwa wao
Hujui unalolisema wewe kaa kimya. Yule mliemhukumu kwa kushiriki hicho mnachokiita "usaliti" kwenye madini . Mbona mmeteua kugombea ubunge na kuna hila apite bila kupingwa ?!

Nasema hujui unachokishabikia
 
Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,496
2,000
Mfano mwingine ni Zimbabwe baada ya kuondoka watu weupe imerudi kwenye dimbwi la umasikini wakati kipindi cha nyuma ilikua inakimbizana na South Africa
Zimbabwe baada ya weupe kuondolewa waliwekewa vikwazo vya maana wakashindwa kuendelea. Afrika huku ni shida sana kuendelea kama tutaendelea kwa maisha haya ya kuviziana na kuharibiana. Yani Afrika ikiweza kufanya biashara kwa kutegemeana wenyewe kwa wenyewe na kufunguliana mipaka bila kuhujumiana na kuingie katika mitego ya weupe mbona tutaweza kutoboa fresh tu.

Tatizo tunagawanywa sana, tunagombanishwa na kutengenezewa uadui baina ya mataifa, tunawekewa migogoro ya ajabu ajabu..na pia waafrika tunafika bei mapema hakuna mwenye uchungu na mwenzie..mtu akishakuwa na uhakika wa kuchuma mali hajali kuhusu mwingine na ndio maana weupe wanatutumia kuwaumiza na kuwahujumu weusi wenzetu. Ni upuuzi tu.. bila Afrika kuungana na kuwa kitu kimoja ni ndoto kuyafikia maendeleo...itakuwa ni mwendo wa migogoro tu.
 
kidumpure

Member
Jul 2, 2020
11
45

Mengine in kweli waafrica tunahujumiana, mfano mzuli kwenye corona inshu ya kufungiana mipaka, lakini pia tuangalie hawa watu weupe wanashirikiana sana na pia taasisi kubwa za kifedha kama IFM na nyingine zinakua na ubaguzi flani kwa Africa, hutoa vikwazo vingi kwa Africa na muelekeo isiyo akisi maendeleo halisi ya Africa, tofauti na ngozi nyeupe inavyotendewa, lakini lazima tujikubali pamoja na hayo yote Africa imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo ukilinganisha umri wake. Tumetoka misituni juzi tu hatuna hata miaka mia lazima tujikubali hatua kubwa imepigwa ya maendeleo
 
road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
560
1,000
Unakua na kiongozi sampuli hiyo alafu uwe na maendeleo!? Yan huyo ndo awe mtunga sheria
IMG_20201001_225450.jpg
 
road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
560
1,000
Lissu alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu kuwatetea bungeni ,wakati Rais Magufuli akitupigania

Lissu alikuwa anakutana na Mabeberu kufanikisha wizi wa kisheria

Dhambi ya usaliti ilionekana wakagombana wao kwa wao
Fikiria hawa ndio wanaochagua hao viongozi !! Unategemea nn??? Mtu wa hovyohovyo huchagua viongozi wa hovyohovyo hovyo tegemea mipango na maendeleo ya hovyohovyo ndio maana unaona ufukara hauishi na hautaisha
JamiiForums1322616669.jpg
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,407
2,000
Wanatumiwa na Mabeberu kuharibu Nchi za kiafrica
Sababu ya kipuuzi,wakati Mkapa anaiba mgodi wa Kiwira,Lisu alikuwepo?wakati majizi ya ccm yanaiba escrow,Richmond,yanatumia tillioni 1.5,bila maelezo,TL alikuwepo,wewe Fikiria Raisi anatoa amri,Mtoto wa dada yake,anaidhinisha fedha,zinapelekwa kwa shemeji wa Raisi,shemeji anapewa Tenda ya kujenga uwanja,bila kufata utaratibu wa Tenda.
Hayo ndio yanatoifsnya Afrika nyeusi iwe maskini,Rushwa,Rushwa,
Baba wa Taifa,alisema unsitaji ,watu,ardhi,siasa safi,na uongozi Bora,ili kuendelea,vingine vipo tumekosa uongozi na siasa safi.
Raisi anayebagua watu kisa wamechagua upinzsni,ni Bora afe kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom