Kwanini nchi za watu weusi duniani ndio nchi masikini zaidi?

Habari Wadau,

Katika kufanya Tafit zangu nimegundua kua nchi nyingi za watu weus ni Maskin na kubaki na swali la kwanini sisi watu weusi.

Mfano Bara la Africa ukiangalia kuna nchi nyingi tu ila asilimia kubwa nchi za watu wenye asili ya weupe wote wana maendeleo japo wamepakana na nchi za watu weus, sababu ni nin?

Watu weus tunakwama wapi?
Kwa sababu zinaongozwa na watu wenye akili kama za wanaccm
 
Natamani hii nchi ipigwe vikwazo mpaka itembee kucha labda ccm ndipo wataheshimu haki za wananchi
Kwel waafrica hatujifich tabia zetu ndiomana tunaongoza kwa umbumbumbu mfano nchi ikiwekewa vikwazo anae umia ni Nan Kati ya ccm Na Mwananch wa kawaida??
 
Ndio nchi ambazo chama kimoja kinakaa madarakani kwa miaka 60 hivyo viongozi kukosa ubunifu. Kuna nchi Kama Cameroon, rais ana miaka zaidi ya 88 na anagombea Tena, unategemea Nini hapo.
Closer home M7 ana miaka zaidi ya 77 mwakani atagombea na atashinda. Rwanda, bwana mdogo amekaa madarakani kuanzia 94, juzi nilipoongea nae aliniambia Hana mpango wa kustaafu. Misri. Alsisi amezeeheka mwaka wa kumi huu hajagusa papuchi. Nigeria. Ivory coast usiseme.
Zambia Hadi polisi Ni wachina yaani we acha tu.
 
CCM ina ubunifu ndio maana hakuna Rais aliyeng'ang'ania madarakani
 
Kwel waafrica hatujifich tabia zetu ndiomana tunaongoza kwa umbumbumbu mfano nchi ikiwekewa vikwazo anae umia ni Nan Kati ya ccm Na Mwananch wa kawaida??
Ccm ndiyo wataumia. Sisi kila siku tunaumia. Hatuna cha kupoteza. Kila siku afadhali ya jana
 
Habari Wadau,

Katika kufanya Tafit zangu nimegundua kua nchi nyingi za watu weus ni Maskin na kubaki na swali la kwanini sisi watu weusi.

Mfano Bara la Africa ukiangalia kuna nchi nyingi tu ila asilimia kubwa nchi za watu wenye asili ya weupe wote wana maendeleo japo wamepakana na nchi za watu weus, sababu ni nin?

Watu weus tunakwama wapi?
Uvivu na ushirikina, ngozi nyeusi kichwani kuna weusi.
 
Habari Wadau,

Katika kufanya Tafit zangu nimegundua kua nchi nyingi za watu weus ni Maskin na kubaki na swali la kwanini sisi watu weusi.

Mfano Bara la Africa ukiangalia kuna nchi nyingi tu ila asilimia kubwa nchi za watu wenye asili ya weupe wote wana maendeleo japo wamepakana na nchi za watu weus, sababu ni nin?

Watu weus tunakwama wapi?
Nchi nyingi za Africa ni omba omba, yani haziwezi kujitegemea bila kuwa na beberu wa kulisaidia. Rais Magufuli, aliliona hilo akachukua hatua leo tupo uchumi wa kati. Ila sasa cha kushangaza, yupo mgombea mmoja sijui Kala maharage ya wapi yule. Anataka aturudishe kwenye utumwa wa kutembeza bakuli, kama wanachofanya. MUNGU tuepushie mbali na hilo genge.
 
Lissu alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu kuwatetea bungeni ,wakati Rais Magufuli akitupigania

Lissu alikuwa anakutana na Mabeberu kufanikisha wizi wa kisheria

Dhambi ya usaliti ilionekana wakagombana wao kwa wao
Before lissu pana hatua kubwa tulipiga ya kiamaendeleo?nchi za kijamaa zinaendeshwa kwa propaganda sana..ambazo zinazalisha wapuuzi wengi!
In fact
bado hatuheshimu nchi zetu sababu ya tawala mbovu, ili tawala ziimarike za kiafrika basi raisi aondolewe kinga ya kutoshitakiwa....!!! Ili akizingua tu ajue atasimama nyuma ya nondo.
 
Habari Wadau,

Katika kufanya Tafit zangu nimegundua kua nchi nyingi za watu weus ni Maskin na kubaki na swali la kwanini sisi watu weusi.

Mfano Bara la Africa ukiangalia kuna nchi nyingi tu ila asilimia kubwa nchi za watu wenye asili ya weupe wote wana maendeleo japo wamepakana na nchi za watu weus, sababu ni nin?

Watu weus tunakwama wapi?
Si kweli. Nafikiri unashindwa kuelewa umaskini ni nn
 
Back
Top Bottom