Kwanini nazipenda sana Idara za Usalama wa Taifa za Israel, Urusi, Cuba, Uingereza, Canada, Uganda, Rwanda na Zimbabwe?

mgumbv wewe
issue sio hoja issue ni vioja na mambo ya hovyo ambayo mwisho wa siku yanavuruga nchi..

tunaongelea upotoshaji wa mambo na kupindisha mambo....kuna hoja za kisiasa zenye mipaka na mambo yanayopotosha jamii na mwisho wasiku kuweza kuleta hali mbaya ya usalama na migogoro isiyoisha...

Kuna wakati ukiruhusu kila mtu kuwa kambale kwenye nchi basi inawezekana hata nchi ikashindwa kuwa na rais wala viongozi maana kila mtu atabishana na dola kila siku....kila mkifanya uchaguzi basi kila mtu atapinga matokeo huku na kule, dola hata ikitolea maamuzi jambo fulani basi watu watazunguka makanisani na misikitini kuipinga....
 
Back
Top Bottom