Baba Juice, nilitaka kutukana lakini nimekumbuka ni miongoni mwa"Najitahidi kuileta akili yangu katika hali ya kawaida ili niwapende wanaume lakini nashindwa kwangu mwanaume ni mteja na mtu katili asiye na huruma. Nawachukia nawachukiakutoka moyoni. Rafiki wa karibu wa baba yangu ambao nimetembea nao mpaka sasa ni 5. Hivi kweli kuna haja ya kuwa na imani na wanaume?"
unalalamika lakini inaonekana unaipenda kazi yako!wanasema kila MALAYA huwa anastory ya kutokea!
eimen,Bwana asifiwe sana,nuru ya Bwana ikuangazie na umwone TF hana mana mbele ya Bwana,na TF umwachie Bebii na SL,utafute wa kwako nje ya TF,eimen.salamu na kwa wakaka/wababa/wababu wanaotafuta wachumba humu.
Mcharuko pole saana Mpenzi na hii story ulotoa hapa.... INASIKITISHA kwa kweli. Pole saana. However Men are funny creatures... Mwanaume yeyote yule haaminiki dear.. wapo exceptions ambao waweza kua waaminifu but majority wako hivo.. in other words ina maana it is better woote uwachukulie wako hivo ili ujue jinsi ya kuwa-handle. Wanaume awe babako, awe Mjombako, awe babuyo, awe kakako, awe binamu.. woote hao wana possibility kubwa ya kukulala wewe.... it is a sad fact but true.
Back to you.... Wee ni more of a psychological problem. inaonesha you enjoy sex, ila tu kuwaamini ndo kero kwako, kumuamini mmoja wao akawa your shoulder ndio inakua shida... However you should know kua as much as they are funny creatures wana umuhimu saana katika maisha yetu in one way or another... Na the good thing ni kua you and only you have the power ya kuamua ni jinsi gani wakutreat... you want them to treat you like shit; they will treat you like shit! You want them to treat you like a hooker: they will treat you like a hooker! You want them to treat you like a queen; they will treat you like a queen! In short you just have to study em' know the type of guy you like... And stick to him.
Note that sio kazi ndogo kujitune uweze wapenda... But jaribu dear for ni muhim. Best of Luck.
Pamoja Saana
ADI.
Ahsante kwa mtazamo wako, nimefundishwa mengi huko juu nazidi kusikia uchungu ninaposoma
Comment mbalimbali. Nipo hapa Jf kwa siku nyingi kiasi nimeingia kwa ID hii ili niweze kutoa ukweli
hata hivyo imenichukua muda toka kujiunga mpaka kufanya kile nilichodhamiria mwisho wa yote
nimefundishwa kusamehe. NIMEKUSAMEHE!
Strange!!...............Ahsante kwa mtazamo wako, nimefundishwa mengi huko juu nazidi kusikia uchungu ninaposoma
Comment mbalimbali. Nipo hapa Jf kwa siku nyingi kiasi nimeingia kwa ID hii ili niweze kutoa ukweli
hata hivyo imenichukua muda toka kujiunga mpaka kufanya kile nilichodhamiria mwisho wa yote
nimefundishwa kusamehe. NIMEKUSAMEHE!
Kama unawachukia wanaume penda wanawake basi, njoo tusagane.
eimen,Bwana asifiwe sana,nuru ya Bwana ikuangazie na umwone TF hana mana mbele ya Bwana,na TF umwachie Bebii na SL,utafute wa kwako nje ya TF,eimen.
Bi Mcharuko:
Hii post imenifanya nitoke mafichoni kwa muda!
Wanawake wengi (hasa ambao wazazi wametegana au wamefariki) wamepitia katika njia hii na mwisho wa siku wamefanikiwa na wametoka!
Usikate tamaa - ila nakushauri kama umefikia kiwango cha kwenda chuoni basi punguza idadi ya wanaume - au kuwa na mmoja ambaye anaweza kukusaidi all the way up..
Pole sana once again!
Narudi shambani!
Basi tusamehe na sisi wanaume tulioponzwa na hayo mabaradhuli yaliyokufanyia undava!!!Nimemsamehe kwa alichocoment kiasi kiliniudhi!
Yupo mtu kanieleza kuwa kuna Yaliyopita, yaliyopo na yajayoBasi tusamehe na sisi wanaume tulioponzwa na hayo mabaradhuli yaliyokufanyia undava!!!
Nimeacha, kuna kipindi nilifanya Field sehemu fulani nilimweleza yule
mama mkurugenzi wa pale mambo ninayokabiliana nayo katika maisha
alilia sana. Akajitahidi kunifanyia mpango ambao umenisaidia mpaka sasa
kuachana kabisa na biashara hiyo. Hivi ninavyozungumza ninasimamia
biashar a za huyo mama!