Kwanini nawachukia wanaume?

Na utaendelea sana kuwachukia ila wenge likikutoka utatupenda tu...kwa asilimia 90 ya wanaume watakutongoza kulingana na unavyojipresent kwao..
si rahisi mwanaume kukutongoza kama anakuona una msimamo flani isitoshe wewe ndio umewalegezea legezea unakwenda kuomba msaada huku unang'atax2 vidole unategemea nini?
Na nani aliyekwambia lazima ugawe K ili usaidiwe hukuwa na means yoyote ya kufikiria kujikimu na maisha? wangapi ni mfano bora wamepitia hayo maisha na hawakuuza K? je unadhani wewe ni wa kwanza kukutwa na hayo matatizo?
nyie ndo the same batch ya kina Sofia Simba nadhani production yenu ilikuwa moja sema we sijui umechelewa ukiwa wapi ...

sasa hapa unapoandika unaomba huruma ya jamii au ndo namna gani ...Nawachukia wanawake kama wewe kuliko kitu kingine ...
huwezi kutegemea K kwa kuishi halafu ujisifu

kwa taarifa yako hata kama unawachukia nadhani hata hapo hizo unazodisco lazima unaonyesha K na bado wataendekea kukutumia sana kama flash disk na hawatachagua port ya kuweka ...ukimaliza kusoma wakati unatafuta ajira utakutana nao na watadigg kama kawa ....

I hate a woman like u... wanaume ukijiheshimu utaheshimika haswaaaa ukijiwema watakuwema vile vile...

The BOSS alishasema hapa kuwa kuna wanaume na wavulana ninaimani kabisa ungeamua kutulia na kusema nia yako ya kusoma na kuomba msaada kwa wanaume na si wavulana UNGEPATA MSAADA na ungesoma na mahitaji ungepata smoothly ..sasa kwa sababu uliamua kuweka K mbele kama tai ndo hayo unayotwambia hapa....

mkuu umefanya noma sana, haya matatizo yapo tu na imagine mioyo laini ya hivi viumbe. Hupaswi kumlaumu wala kumponda bali kumpa ushauri wenye kumjenga.

Hata mm naamin wapo wanaofanya hiyo biasha kwa kuwa tu wanataka kuishi maisha ya juu na starehe ambazo hawana uwezo nazo.

Ila kwa hapa tuchukulie tu maelezo kama aliyotoa muhusika so usimponde mtie moyo, muonyeshe kwamba bado jamii inamjali na mpe ushauri utakaomfanya ajiamini.

@Kwako Mcharuko.
Kwanza pole kwa yote yaliyokusibu. Baada ya kusema hayo nakusisitizia mshike sana mungu na umfanye kuwa kiongoz wako.
Muombe sana mungu akupe unalohitaji. Ondoa chuki uliyonayo kwa wanaume.
Hesabu kwamba yaliyopita si ndwele sasa pambana na yajayo. Muombe Mungu akufungulie njia.

Nakutakia kila la kheri na nitakukumbuka kwenye maombi yangu kila siku. Inshallah Mungu atakufungulia njia.
 
Mara nyingine unaweza kujiuliza kwanini mtu kachagua ID fulani, Unaweza kucheka, kuchukia au kubaki kawaida na maswali yako. Kwa upande wangu nastahili kuitwa/ kujiita mcharuko. Naongea kutoka moyoni kwa sababu naamini ni Mungu pekee ndo ananijua vizuri kwa wengine hapa jukwaani nitaendela kuwa kivuli.

Mwk 2001 nikiwa kidato cha kwanza nilifiwa na mama yangu mzazi. Nilikuwa mtoto wa pekee kwa baba na mama. Nikabaki na baba peke yake ambaye mara nyingi alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kisukari hadialipopoteza maisha miaka miwili baadae. Tayari maisha yalishakuwa magumu lakini baada ya kufariki baba ugumu ulizidi.

Mara nyingi nilikuwa naenda kuomba misaada kwa marafiki wa karibu wa baba wengi wao walinisaidia lakini wakaanza kunitongoza. Sielewi ni kwanini wakati baba yuko hai nilikuwa mtoto wao lakini baada ya kifo cha baba wakaanza kunifanyia hivyo. Asilimia 90 ya wanaume niliowaomba msaada walinitongoza. Nilikuwa sina jinsi. Wengi nilifanya nao...... lakini hawakunisaidia tena baada ya msaada wa kwanza
na wao kupata walichohitaji.

Toka Muda huo maisha yangu yamekuwa ni ya kuuza mwili wangu mpaka mwaka 2008 ambapo nilijiunga na chuo cha Elimu ya Biashara CBE. Hapo sikuwa na jinsi ndo nikaingia kwenye biashara rasmi ya uchangudoa. Sitatokea kumpenda mwanaume maisha yangu yote. Na hata pale nilipoleta thread kuhusu wanaume wafupi nilikuwa nimezungumza kutokana na uzoefu nilioupata kutokana na biashara hiyo.

Najitahidi kuileta akili yangu katika hali ya kawaida ili niwapende wanaume lakini nashindwa kwangu mwanaume ni mteja na mtu katili asiye na huruma. Nawachukia nawachukiakutoka moyoni. Rafiki wa karibu wa baba yangu ambao nimetembea nao mpaka sasa ni 5. Hivi kweli kuna haja ya kuwa na imani na wanaume?

Kila nikiona hii post yako huwa nazidi kukupenda... MSIIFUTE JAMANI huyu mcharuko now najua atakuwa ametulia tuu maana adha na raha zote kazionja.... niachieni atatupenda tu...*
 
Kama watafiti wa masuala ya mahusiano husema Most girls attracted by Play Boys so viseversa inamaanisha huyu mcharuko all most ANAPENDWA SANA na wanaume wengi
 
wanaume tunapaswa kushawaishiana 'kuchukia'
tabia za ku take advantage unapomuona msichana ana shida na kaja kwako umsaidie...

Na hata kama hana shida pia, wanaume mna tabia ya kumfuatilia mdada hata miaka mradi umlale tu ilhali ukijua moyoni mwako huna hata mpango nae. Mnaumiza sana mioyo ya wadada mbadilike kuanzia hapo sio mpaka mtu awe na shida
 
Usiwachukie maana hata hao wanaokulipa pesa ili urekebishe mahitaji yao, bado ni wanaume. Think differently! Wanaume wapo waovu na wema pia. Inategemea umeangukia upande gani.
 
Na utaendelea sana kuwachukia ila wenge likikutoka utatupenda tu...kwa asilimia 90 ya wanaume watakutongoza kulingana na unavyojipresent kwao..
si rahisi mwanaume kukutongoza kama anakuona una msimamo flani isitoshe wewe ndio umewalegezea legezea unakwenda kuomba msaada huku unang'atax2 vidole unategemea nini?
Na nani aliyekwambia lazima ugawe K ili usaidiwe hukuwa na means yoyote ya kufikiria kujikimu na maisha? wangapi ni mfano bora wamepitia hayo maisha na hawakuuza K? je unadhani wewe ni wa kwanza kukutwa na hayo matatizo?
nyie ndo the same batch ya kina Sofia Simba nadhani production yenu ilikuwa moja sema we sijui umechelewa ukiwa wapi ...

sasa hapa unapoandika unaomba huruma ya jamii au ndo namna gani ...Nawachukia wanawake kama wewe kuliko kitu kingine ...
huwezi kutegemea K kwa kuishi halafu ujisifu

kwa taarifa yako hata kama unawachukia nadhani hata hapo hizo unazodisco lazima unaonyesha K na bado wataendekea kukutumia sana kama flash disk na hawatachagua port ya kuweka ...ukimaliza kusoma wakati unatafuta ajira utakutana nao na watadigg kama kawa ....

I hate a woman like u... wanaume ukijiheshimu utaheshimika haswaaaa ukijiwema watakuwema vile vile...

The BOSS alishasema hapa kuwa kuna wanaume na wavulana ninaimani kabisa ungeamua kutulia na kusema nia yako ya kusoma na kuomba msaada kwa wanaume na si wavulana UNGEPATA MSAADA na ungesoma na mahitaji ungepata smoothly ..sasa kwa sababu uliamua kuweka K mbele kama tai ndo hayo unayotwambia hapa....

Huna utu kabisa wewe, It is men like you who always use their lower head (Abdala kichwa wazi) when thinking
 
Hyo ndiyo hasara ya kujiraìsha na hayo ndiyo mavuno yake. Wangapi wamefiwa na wazazi wao na wamepita magumu mengi na hawakuwah kujiuza? Mbona kuna mashirika kibao ya kusaidia na kusomesha yatima? Kiukweli sijapenda ulipotumia kigezo cha kufiwa kuhalalisha uchfu wako.
 
Pole sana dada, sikuhukumu ila nakuelewesha ni wapi ulipoangukia...ulikosea toka mwanzo kwa kukosa msimamo, kwani ni shida gani hizo zilizokufanya ukose aibu hadi ufikie kutembea na watu wenye umri kama baba yako? Wanaume ni wazuri sana hasa ukiwapatia, wrong choices ndio kinachotumaliza wanawake...
 
NAOMBA KUTOFAUTIANA NA WACHANGIAJI WENGI. uBAYA WAO NI; KUMSAIDIA KWA MUDA MFUPI, MEANING KWAMBA WANGEDUMU KUMSAIDIA?, AU UBAYA WAO NI KUMTAKA KIMAPENZI? AFU PIA KWANINI ALICHAGUA NJIA HIYO? NAJUA MCHARUKO UNUMIA LAKINI NAPENDA WANAO KUSHAURI NA WEWE MWENYEWE MUWE NA UJASIRI WA KUUONA UKWELI KUWA LAWAMA ZA MWANZO ZINAKWENDA KWAKO KABLA YA HAO. KEEP EMOTIONS ASIDE UTAUONA UKWELI HUO VIZURI. UMEFANYA VIZURI KUOMBA USHAURI NAO NI KWAMBA JITHAMINI HATA KAMA UNAMATATIZO UKIFANYA HIVO UTATAMINIWA ILA UKIJIDHARAU UTADHARAULIWA. WANAUME SIO WABAYA ILA NAO KAMA VINADAMU WANAUDHAIFU WAO. PIA USITEGEMEE SANA WEMA WA MTU MAAANA NAYE ANA MAPUNGUFU.
 
mara nyingine unaweza kujiuliza kwanini mtu kachagua id fulani, unaweza kucheka, kuchukia au kubaki kawaida na maswali yako. Kwa upande wangu nastahili kuitwa/ kujiita mcharuko. Naongea kutoka moyoni kwa sababu naamini ni mungu pekee ndo ananijua vizuri kwa wengine hapa jukwaani nitaendela kuwa kivuli.

Mwk 2001 nikiwa kidato cha kwanza nilifiwa na mama yangu mzazi. Nilikuwa mtoto wa pekee kwa baba na mama. Nikabaki na baba peke yake ambaye mara nyingi alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kisukari hadialipopoteza maisha miaka miwili baadae. Tayari maisha yalishakuwa magumu lakini baada ya kufariki baba ugumu ulizidi.

Mara nyingi nilikuwa naenda kuomba misaada kwa marafiki wa karibu wa baba wengi wao walinisaidia lakini wakaanza kunitongoza. Sielewi ni kwanini wakati baba yuko hai nilikuwa mtoto wao lakini baada ya kifo cha baba wakaanza kunifanyia hivyo. Asilimia 90 ya wanaume niliowaomba msaada walinitongoza. Nilikuwa sina jinsi. Wengi nilifanya nao...... Lakini hawakunisaidia tena baada ya msaada wa kwanza
na wao kupata walichohitaji.

Toka muda huo maisha yangu yamekuwa ni ya kuuza mwili wangu mpaka mwaka 2008 ambapo nilijiunga na chuo cha elimu ya biashara cbe. Hapo sikuwa na jinsi ndo nikaingia kwenye biashara rasmi ya uchangudoa. Sitatokea kumpenda mwanaume maisha yangu yote. Na hata pale nilipoleta thread kuhusu wanaume wafupi nilikuwa nimezungumza kutokana na uzoefu nilioupata kutokana na biashara hiyo.

Najitahidi kuileta akili yangu katika hali ya kawaida ili niwapende wanaume lakini nashindwa kwangu mwanaume ni mteja na mtu katili asiye na huruma. Nawachukia nawachukiakutoka moyoni. Rafiki wa karibu wa baba yangu ambao nimetembea nao mpaka sasa ni 5. Hivi kweli kuna haja ya kuwa na imani na wanaume?
afu badili hiyo id maneno yanaumba. Ndo tunaanza ushauri hivo
 
Back
Top Bottom