Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

Dear Nyerere ulishatangulia mbele ya haki, iyo point utaionea wapi, ungepewa nafasi hata ya saa mbili tu kurudi kuona yanayoendelea, nakuhakikishia hii nchi ungemrudishia mkolon tena bure kabisa.
Poor fella who can't read a simple name. What a shame!!
 
Mi naona hata katiba unayosema anaifuata huijui,maana najua ndani ya katiba yetu hakuna mahali imekataza uhuru wa mtu kufanya mikutano ya siasa nje na jimbo lake,uhuru wa mtanzania kufanya shughuli halali mahali popote ndani ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania sasa umewekewa mipaka kinyume na katiba,huoni hapo huyu unayemsifia ana tatizo.
Mkuu sisi tanzania tumerithi mfumo wa kiingereza,kwamba anayeshinda uchanguzi basi anaachwa atekeleze kile alichowaahidi wanachi wake.
Mkuu uhuru wa kufanya mikutano una kipimo, sio kisa siku,kila mwezi,kila mwaka kuwe na mikutano,basi kiwe ndiyo kielelezo cha uhuru.Uhuru wa namna hiyo haupo po pote duniani.
Ndiyo maana mataifa yote yaliyofanya uchakuguzi pamoja sisi,na hata waliofanya baada ya sisi,husikii vyama vya upinzani wa nchi hizo wakilazimisha serikali iruhusu mikutano ya hadhara na kielelezo cha demokrasia.Hii hata mzee Lowassa aliwahii kuwaambia chadema kuwa baada ya uchagulizi aliyeshinda aachwe atekeleze ahadi zake.
Uhuru wa kweli wa kujieleza ni kwa wabunge washirikiane na serikali kutekeleza ahadi katika majibu,ili ikifika 2020 waweze kupita vifua mbele kwa kazi nzuri walizowafanyia wapiga kura wao,huko wakiomba tena ridhaa ya kipindi kinachofuata.
 
JPM 2015-2025.

Nitamchagua tena 2020.

Akimaliza 2025 tutamuomba aendelee.

Maisha marefu twamuombea,Mungu ibariki Tanzania.
 
Kinachonishangaza ni mtu kuwageuza wakosoaji wake maadui zake..

Wewe unataka kuongoza watu gani? Wasiohoji? Kama walikuchagua kwanini wasikuhoji?

Kama wanalipa kodi na unalipwa kwa kodi zao kwanini wasikuhoji?
Alifaa kuongoza UFO's na aliens za matunguli ya chato. Kuongoza watu inataka kwanza uwe MTU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlikua mnasifia ooh Tingatinga limeingia ilkulu.
Nyuzi zenu za kumsifia zipo hapa JF.
wacha tuisome
 
Ningependa kutoa maoni yangu na kuelezea kwa nini Rais Magufuli ameshindwa kabisa kuliongoza taifa...

Uongozi sio nguvu siasa sio nguvu wala siasa sio Uadui hata siku moja wenzangu wale mliosoma political science mnajua kabisa siasa ni science.

Lakini Rais nilianza kuwa na mashaka naye baada ya kufanya maamuzi ya hovyo hovyo.
" Ukipanda hovyo utavuna hovyo"

1: Kuteua baadhi ya Maafisa wa jeshi kuwa wakuu wa mikoa na wilaya Makosa yalianzia hapo Mimi siafiki hata kidogo maafisa wetu wa jeshi kuwa Wakuu wa mikoa na wilaya ambavyo ni vyeo vya kisiasa.

2: Ni kuondoa vitu visivyo na kodi kwenye kambi za jeshi mfano vitu kama cement, mabati vilikuwa vikipatina kwa bei rahisi Jeshini kuliko mtaani hivyo kuwafanya wanajeshi waweze kuimili kujenga nyumba zao za kuishi bila kusubili mpaka wasitaafu..

Pia kwenye swala la bia kazi wanazofanya wanajeshi ni kazi ngumu na muhimu kwa nchi halafu ikifika jioni wanajumuika kambini na kunywa angalau bia za bei nafuu na kuondoa mawazo ambayo yangepelekea wao kufanya mambo yasiyo mazuri kwa taifa .

Matokeo yake umeondoa na sasa wanalipia kama kawaida kama RAIA wengine kitu ambacho sio sahihi.

3: Kuzuiliwa Kwa Muda mrefu kwa Godbles Lema na kamata kamata ya Tundu Lissu Hii kiukweli nikwambie tu ukweli zaidi ya wale vijana mnaowalipa buku 7 hakuna mtu yeyote anayefurahia kamata kamata ile wafuasi wako wanakuwa wanyonge sana mtaani jinsi ya kujitetea pale tu taarifa ya habari inapotangaza kuwa Lissu kakamatwa mawaziri wako pia wala hawapendi na wala hawakwambii.

Ushauli wa bure....

Fanya mambo ya msingi kwa taifa..

Lipa vizuri wanajeshi wetu wape Uhuru wa kuishi kama zamani ..

Lipa vizuri wafanyakazi wa serikali na ishawishi private sector ilipe vizuri wafanyakazi wake kama alivyofanya Kikwete..

Waburuze polisi maana ndio hawajitambui hawana haja ya kuongezewa mshahara...

Achana na wapinzani waache wafanye mambo yao watakavyo unawapa kiki na kuipa shida serikali yako.....

Fanya mambo uliyoyasema acha kutumia mtaji wa masikini kama nembo ya taifa kila mfano masikini wa nchi hii unaonyesha jinsi gani ulivyo na negativity kwa wanachi wako ...

Acha kutumia umasikini wa baadhi ya watanzania kama karata ya wewe kuendelea kupata huruma ya wananchi ..

Umefikia kuwaita wasaidizi wako Wapumbavu je mwananchi wa kawaida akiingia anga zako utamuitaje?

Acha kutumia nguvu tumia "Knowledge" ukiangalia marais wote duniani nchi zao zilizoendelea wanatumia akili zaidi kuliko nguvu hata Putin ukiangalia nchi yake kila siku wanagundua siraha mpya Hata north Korea kila Siku wanagundua kombola la masafa marefu la nyukilia wewe uko busy na Tundu Lissu..

"Kaa ukijua kabisa lazima ukubali choo kizibuliwe ili uendelee kunya lasivyo utajisaidia chumbani hautatoka"

Huo ni mtazamo wako Mhe.

Lakini, inyeshe mvua, liwake jua....Taifa litasonga mbele tu kwa maana walionyuma ya Rais Magufuli ni wengi kuliko walionyuma ya baadhi ya wenye chuki binafsi. Huyu ndiye tuliemsubiria kwa muda mwingi watanzania. President Magufuli ni imara na jasiri. Ana udhubuti wa hali ya juu sana. Kutoka ndani ya uketo wa moyo wangu na ninaamini ndani ya mioyo ya Watanzania waliowengi, tunampenda sana Rais wetu na wengine tupo tayari kwa lolote kwa ajili ya Mhe. Rais Magufuli. Go East, Go West Hakuna kama Magufuli. PERIOD!
 
Wambie bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa kutoa maoni yangu na kuelezea kwa nini Rais Magufuli ameshindwa kabisa kuliongoza taifa...

Uongozi sio nguvu siasa sio nguvu wala siasa sio Uadui hata siku moja wenzangu wale mliosoma political science mnajua kabisa siasa ni science.

Lakini Rais nilianza kuwa na mashaka naye baada ya kufanya maamuzi ya hovyo hovyo.
" Ukipanda hovyo utavuna hovyo"

1: Kuteua baadhi ya Maafisa wa jeshi kuwa wakuu wa mikoa na wilaya Makosa yalianzia hapo Mimi siafiki hata kidogo maafisa wetu wa jeshi kuwa Wakuu wa mikoa na wilaya ambavyo ni vyeo vya kisiasa.

2: Ni kuondoa vitu visivyo na kodi kwenye kambi za jeshi mfano vitu kama cement, mabati vilikuwa vikipatina kwa bei rahisi Jeshini kuliko mtaani hivyo kuwafanya wanajeshi waweze kuimili kujenga nyumba zao za kuishi bila kusubili mpaka wasitaafu..

Pia kwenye swala la bia kazi wanazofanya wanajeshi ni kazi ngumu na muhimu kwa nchi halafu ikifika jioni wanajumuika kambini na kunywa angalau bia za bei nafuu na kuondoa mawazo ambayo yangepelekea wao kufanya mambo yasiyo mazuri kwa taifa .

Matokeo yake umeondoa na sasa wanalipia kama kawaida kama RAIA wengine kitu ambacho sio sahihi.

3: Kuzuiliwa Kwa Muda mrefu kwa Godbles Lema na kamata kamata ya Tundu Lissu Hii kiukweli nikwambie tu ukweli zaidi ya wale vijana mnaowalipa buku 7 hakuna mtu yeyote anayefurahia kamata kamata ile wafuasi wako wanakuwa wanyonge sana mtaani jinsi ya kujitetea pale tu taarifa ya habari inapotangaza kuwa Lissu kakamatwa mawaziri wako pia wala hawapendi na wala hawakwambii.

Ushauli wa bure....

Fanya mambo ya msingi kwa taifa..

Lipa vizuri wanajeshi wetu wape Uhuru wa kuishi kama zamani ..

Lipa vizuri wafanyakazi wa serikali na ishawishi private sector ilipe vizuri wafanyakazi wake kama alivyofanya Kikwete..

Waburuze polisi maana ndio hawajitambui hawana haja ya kuongezewa mshahara...

Achana na wapinzani waache wafanye mambo yao watakavyo unawapa kiki na kuipa shida serikali yako.....

Fanya mambo uliyoyasema acha kutumia mtaji wa masikini kama nembo ya taifa kila mfano masikini wa nchi hii unaonyesha jinsi gani ulivyo na negativity kwa wanachi wako ...

Acha kutumia umasikini wa baadhi ya watanzania kama karata ya wewe kuendelea kupata huruma ya wananchi ..

Umefikia kuwaita wasaidizi wako Wapumbavu je mwananchi wa kawaida akiingia anga zako utamuitaje?

Acha kutumia nguvu tumia "Knowledge" ukiangalia marais wote duniani nchi zao zilizoendelea wanatumia akili zaidi kuliko nguvu hata Putin ukiangalia nchi yake kila siku wanagundua siraha mpya Hata north Korea kila Siku wanagundua kombola la masafa marefu la nyukilia wewe uko busy na Tundu Lissu..

"Kaa ukijua kabisa lazima ukubali choo kizibuliwe ili uendelee kunya lasivyo utajisaidia chumbani hautatoka"
Hawezi kuongoza jamaa jau huyo
 
Back
Top Bottom