Kwanini najiona genius

bishororo

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
254
358
Toka nmezaliwa na kujitambua nmekuwa nkijiona tofaut na wengine hasa ktk masuala ya kutafakari kuchangia hoja na kutatua matatz yan najiona kama kiumbe wa ajabu kwl Sasa sijui mm kwl genius au msaada tafadhali
 
Ukienda pale Shule ya uhuru kwenye darasa la watoto wenye mtindio pia kuna ambaye wanamuona Genius.
Sasa wewe umemaliza pale ?
 
Sasa kama unajiona genius halafu unakuja kuuliza nini wakati wewe ni Genius kwanini usifanye ugenius upate jibu.

"Kila mtu hujiona Genius kwa taarifa yako"
 
Matukano unayatafuta mwenyewe na humu JF wako watu hatari sana ktk hiyo Fani ingawa tu najaribu kuwasihi kukumbuka kanuni no1 ya JF
 
Kila mtu ni tofauti na mwingine yaani huwezi kuwa mimi na siwezi kuwa wewe labda tujadili ulivyo wa ajabu una mapembe?
 
Toka nmezaliwa na kujitambua nmekuwa nkijiona tofaut na wengine hasa ktk masuala ya kutafakari kuchangia hoja na kutatua matatz yan najiona kama kiumbe wa ajabu kwl Sasa sijui mm kwl genius au msaada tafadhali
1-Je ni hoja gani hiyo uliyoichangia au uliyoitafakari ndio imekufanya ujione genius? Na hiyo hoja yako uliyochangia imeleta impact gani kwenye maisha ya hiyo jamii iliyokuzunguka?

2-Ni matatizo gani uliyoyatatua mpaka leo? Utatuzi wako huo umeleta faida gani kwenye maisha ya waliokuzunguka?3-isije ikawa huko kujiona kwako kua wewe ni genius kunaakisi tu hiyo ID yako,

Kitu kingine genius hutambuliwa na watu wengine kwa michango yao ila wewe umekua tofauti umejitambua wewe mwenyewe kua wewe ni genius!!
 
Toka nmezaliwa na kujitambua nmekuwa nkijiona tofaut na wengine hasa ktk masuala ya kutafakari kuchangia hoja na kutatua matatz yan najiona kama kiumbe wa ajabu kwl Sasa sijui mm kwl genius au msaada tafadhali
Dah.... Umewahi kuongea na Clinton wakiwa na Mkapa?
 
Toka nmezaliwa na kujitambua nmekuwa nkijiona tofaut na wengine hasa ktk masuala ya kutafakari kuchangia hoja na kutatua matatz yan najiona kama kiumbe wa ajabu kwl Sasa sijui mm kwl genius au msaada tafadhali
jina lako lina reflect uwezo wako wa kufikiri "bishororo"
hapa tushajua ww ni mtu wa aina gani?
 
Toka nmezaliwa na kujitambua nmekuwa nkijiona tofaut na wengine hasa ktk masuala ya kutafakari kuchangia hoja na kutatua matatz yan najiona kama kiumbe wa ajabu kwl Sasa sijui mm kwl genius au msaada tafadhali
Acha kujisifu tangu lini jiniazi kajijua acha watu waseme sio wewe useme. Mbn hatujasikia ata mtu anakuongelea km kwel we ni genius? Kwanza tu ulivoandika tayar umejitambulisha kuwa wewe ni kiazi kabisa na cjui n matatzo gani unayodai kuyatatua kitofauti na wengine labda kuangua nazi
 
Back
Top Bottom