Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,000
- 165,497
- Thread starter
- #61
nasikia mchawi kaanguka kanisani kwake
Jamani...!Nilijua Michael Jackson, mtu gani huyu yupo kama Amoxicillin...
Kanisa lake lipo wapi?nasikia mchawi kaanguka kanisani kwake
1 yohana 4:1
Mmh![]()
Nabii Florah akiwa na Dotnata.
Hivi mahubiri hayanogi hadi mjipake maunga usoni?