Nabii hata kwa rigwaride wamoo kwa tunaemjua kwa undani we acha tuu, wakina wema wanasingiziwa na huo unga aliopaka nadhani alikua anatoka mashineni kusaga muhogo au mahindi
usangoma mwanangu,ukiwauliza hawa shindwi kujitetea eti mbona Yesu alimponya mtu upofu kwa tope alilochanganya na mate...!!!fix tupu hakuna nabii wanamna hii,naukitaka kujua njia za shetani wanaoshawishika wengi ni wanawake,kama ilivyo kuwa EDENI
Preta umenichekesha...faundesheni kama ni kwa mtindo huu basi hatari...Labda hakuwa na kioo cha kujitazama kabla hajatoka kwa nyumba. Ukitaka uzuri sharti uzurikie. Mtumishi wa Mungu haipendezi kabisa.