Alexandry Nemesi
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,508
- 590
Kwa hyo kazi ya @Nape @Nnauye nikutumbua Tu huku nyie Vilaza mkiambulia buku saba bila kuhoji,Siwezi kuingilia kazi ya Nape.
Last edited by a moderator:
Kwa hyo kazi ya @Nape @Nnauye nikutumbua Tu huku nyie Vilaza mkiambulia buku saba bila kuhoji,Siwezi kuingilia kazi ya Nape.
Hapana aliondolewa na vibaraka wa Marekani, pamoja na wananchi wa LIBYA ambao hawakuwa wazelendo na nchi yao.
Jajji feki yupoje na orijino yupoje? kumbe nawewe Una poor reasoning kiasi hiki?
Yaani kuhemea kwako Buku saba siku nzima unajiona una uelewa mkubwa?
Kwa hyo kazi ya @Nape @Nnauye nikutumbua Tu huku nyie Vilaza mkiambulia buku saba bila kuhoji,
Kama una GPA na unatumikia buku saba humu una tofauti gani na ambye hajapata elimu ya msingi kimaarifa?Mimi Nina uelewa mkubwa na GPA niliyopata chuoni hakuna kiongozi wako mwenyenayo
Pikipiki zipo kwa ajili ya Chama Je milioni 600 za Lumumba huku wewe ukiambulia Buku 7 kwa siku mchanganuo wake ukoje?We umekula ngapi katika ugavi wa pikipiki 250 za chama.
Kama una GPA na unatumikia buku saba humu una tofauti gani na ambye hajapata elimu ya msingi kimaarifa?
Kumbe wewe una poor language skills kiasi hiki?. Kumbe kinyume cha fake ni original katika muktadha uliozungumzia?!
Kwn kulamba buku saba kwa siku sio mema?Umezoea maisha ya utumwa ndo maana kila mtu anaetetea kitu unaona katumwa...
CCM imenitendea mema ambayo sina budi kuilinda kwa uwezo wangu wote
Pikipiki zipo kwa ajili ya Chama Je milioni 600 za Lumumba huku wewe ukiambulia Buku 7 kwa siku mchanganuo wake ukoje?
Kwahiyo unakubali wakuu wa chama kununua pikipiki used,huku bei zikiwa hazijulikani? ndiyo maana tunaomba maelezo ya kina mkuu,hii kitu inatia sana shaka.
Used ndio kigezo chako ila nafahamu Jinzi mnavyougumia maumivu ila kama ni Mtanzania Nenda makao makuu kila kitu kipo wazi,Kwahiyo unakubali wakuu wa chama kununua pikipiki used,huku bei zikiwa hazijulikani? ndiyo maana tunaomba maelezo ya kina mkuu,hii kitu inatia sana shaka.
mambo yote hapa duniani yapo kwa kusudi la MUNGU,hakuna utawala wowote ambao umejisimamisha wenyewe,na mwanadamu maisha yake yote yanaratibiwa na MUNGU. kwanini tusimuachie yeye yote? hao wanahitajika kutoka madarakini na wakati huo wengine wanataka kuingia madarakani,kwa nini wasisubirie wakati wao.kila jambo linawakati wake chini ya jua.wacha wakati ufike ingawa tunapitia magumu chini ya ccm lakin tumuachie MUNGU alie muamuzi wa yote.tufanye uwepo wa ccm ni kama wakati wa kulima, na wakati wa mavuno ukifikaa basi tutafuraia. tumtafute MUNGU ndugu nae MUNGU atatuonekania na kisha atatupa utawala bora. tusiutafute ubora wakati sisi sio bora.
Used ndio kigezo chako ila nafahamu Jinzi mnavyougumia maumivu ila kama ni Mtanzania Nenda makao makuu kila kitu kipo wazi,
mambo yote hapa duniani yapo kwa kusudi la MUNGU,hakuna utawala wowote ambao umejisimamisha wenyewe,na mwanadamu maisha yake yote yanaratibiwa na MUNGU. kwanini tusimuachie yeye yote? hao wanahitajika kutoka madarakini na wakati huo wengine wanataka kuingia madarakani,kwa nini wasisubirie wakati wao.kila jambo linawakati wake chini ya jua.wacha wakati ufike ingawa tunapitia magumu chini ya ccm lakin tumuachie MUNGU alie muamuzi wa yote.tufanye uwepo wa ccm ni kama wakati wa kulima, na wakati wa mavuno ukifikaa basi tutafuraia. tumtafute MUNGU ndugu nae MUNGU atatuonekania na kisha atatupa utawala bora. tusiutafute ubora wakati sisi sio bora.
Nakuunga mkono mkuu Yericko Nyerere
Baada ya mbinu zote kufeli sasa hivi wanamtumia Kibaraka wao Francis Mutungi ambaye ni Jaji Feki ili aitumie ofisi ya Msajili kuivuruga Chadema na Ukawa.
jina laKama una GPA na unatumikia buku saba humu una tofauti gani na ambye hajapata elimu ya msingi kimaarifa?
Taarifa nilizonazo mpaka muda huu ni kwamba heshima ya MUTUNGI imeporomoka kwa kasi ya kutisha ! nimeamini kwamba BINADAMU UNAWEZA KUDHALILIKA KWA DAKIKA CHACHE SANA !