THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
Siasa za Afrika ni mikingamo hasi, vivyo hivyo siasa za Tanzania ni silika ya mikingamo hiyo,
Huwa ni kawaida ya vyama vinapokaribia kudondoka kuifanyia madhila na anasa siasa. Wataua hata watu wanaowatawala, Hawawezi kutoka kirahisi kama watu wanavyofikiri,
Ccm haitatoka kwa sanduku la kura pekee, Utawala africa ni utajiri sio utumishi ndio maana wanatoa roho watu,
Ndio tujiandae ccm na serikali yake watachinja kabla ya kutoka, jambo mhimu ni kusubiri kiwango cha maafa ambayo katu hayaepukiki hata kwa tone la mchanga.
Lakini anguko la ccm li juu yao, maana alama za nyakati huwa hazipingani na binadamu wa nyama na damu.
Ukawa ni njia halisi ya Mtanzania kuikomboa nchi yake.
Nishauri tu kwa wakuu wa UKAWA, Ili tuitoe ccm 2015, technical team ya vyama vinavyounda ukawa, viwekwe pamoja vijifungie ndani na vipewe hadidu za rejea kuandaa mkakati wa mda mfupi kuelekea ukombozi 2015. Ni kazi ya mwezi mmoja tu!
Sasa msambila.
Ukawa wenzenu wameshafanya uchaguz wa viongozi wao.
Nyinyi huko uchagani ni lini??
Ni kweli ccm inaanguka hata mimi nakubali hilo.
Si mmejionea tu hata kwenye hiz chaguz ndogo za hivi majuzi ilivyoanguka??
Tena me nashauri Technical Team ya Ukawa itayojifungia ndani huko wewe uwe kiongozi wao.
Au unasemaje.
Pia wakupe Tenda ya ujenz wa ofisi mbali mbali za Ukawa nchi nzima kwa kutumia ile kampuni yako ya ujenz mkuu.
Teh teh teh.
Yani we jamaa ukishavuta bange unajiona mjanja sana.
Teh teh teh.