Kwanini Mzee Kikwete alaumiwe?

Binafsi naona Mhe Jakaya Kikwete hana shida . Na huwa natamani sana siku moja nipate nafasi ya kukaa naye . Ni moja ya maraisi wenye busara sana .. Hapa kinachotokea kwenye serikali iliyopo madarakani ni zao la uongozi mbovu uliowekwa lakini pia juhudi za SSH kuboresha njia yake ni tengua teua . Hapa unahitajika mfumo wenye haki kuanzia mchakato huu wa wabunge . Lakini pia kwenye nafasi za uongozi wa umma wasiangalie tu makaratasi ya watu na majina yao pekee bali uwezo wa hao watu kifikra na kiutendaji kuweza kuifikia dira ya taifa . Pakiwa na haki amani itakuwepo . Vyombo vya dola visiwe na upendeleo wa watu, au vyama au kundi flani vifanye kazi kwa weledi ..
Mifumo ikiwa imara mambo yatakuwa mazuri saivi hatuna hiyo mifumo . Na kuonstall mifumo hiyo lazima kuna watu waumie waliozoea kuishi kimazoea
 
Wanaomlaumu shida iko wapi
 
Uthibitisho wa kwanza usio kuwa na shaka huu hapa
Link:
View: https://www.youtube.com/watch?v=XsNLAzY-A6A
Uthibitisho wa pili huu hapa:
Link:
View: https://www.youtube.com/watch?v=8C0iBzeTyH0
Link:
View: https://www.youtube.com/watch?v=PtfcxQGxNO0

 
We elewa tu, Taifa halimkubali basi na iishie hapo ..mengine ongea na Mungu wake
Na aelewe tu kwamba ni kweli njaakaya ndiye anayemfundisha ila mbinu na njia anazozitumia kumuelekeza maza cha kufanya ndio hatuzijui! Kama vile baba anavyomdanganya maza anakwenda safari ya kikazi na atalala huko kwa siku3, kumbe amelala kwa mchepuko jirani tu hapo na maza hajui.
 
Sio hisia zetu tu kweli
 
Sina Ubaya kabisa na JK,kama ni kweli anashauri ubaya mbona alishasema za KUAMBIWA changanya na za kwako,tuache hisia potofu mama anaupiga mwingi kama ni mapungufu basi ni ya kibinadamu tu
 
Dah, haya bwana🤭🤭🤫
 
Watu waache kulalamika wafanye maamuzi magumu tusahau.
 
SHS yeye mwenyewe amesema Boss wake ni Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…