Kwanini mwanaume masikini haruhusiwi kuoa?

Kwanini mwanaume masikini haruhusiwi kuoa?

Ni kweli masikini wengi wana roho mbaya,wivu,chuki,wachawi..n.k....Masikini wengi hawatauona ufalme wa mbinguni...Umasikini ni laana....Jitahidi vyovyote vile uwe tajiri hata ikibidi kutoa kafara au kuiba ....
Ikibidi kutoa kafara? ..Mke wako atakua na Bonge la siri .
 
Mkuu ni kweli akili ipo kwenye nafsi ya mtu na ndiyo inayomfanya mtu afanikiwe au asifanikiwe na moja ya mafanikio hayo ni pamoja na kuweza kuwamiliki wanawake. Lakini huwa inatokea tajiri akavurugwa na mambo ya mapenzi, which means, kuna akili nyingine ya ziada inatakiwa uitumie kuishi na mwanamke zaidi ya hii inayotumika kuusaka utajiri. Nayo ni hii, usimchukulie mwanamke kama kiumbe cha kuaminika, shetani atamtumia pale ambapo hukutarajia kukuangusha au kukuvuruga kabisa kiimani. Kama ulivyosema hapo, pamoja na Eva kuishi kwenye utajiri wote huo ambao Adam alikuwa anamiliki, bado aliweza kurubuniwa na shetani na kuleta laana ambayo kila mmoja wetu anaijua.
 
Tafuta hela mzee baba..Habari za shetani Achana Nazo..Pesa ina nguvu kuliko shetani
 
Tafuta hela mzee baba..Habari za shetani Achana Nazo..Pesa ina nguvu kuliko shetani
Tafuta hela mzee baba..Habari za shetani Achana Nazo..Pesa ina nguvu kuliko shetani
Mwanamke ni habari nyingine, atakuvuruga na pesa zako na usiweze kuamini. Maana hizo pesa si peke yako utakayekuwa nazo, unachotakiwa kujua ni je, umesimama imara kwenye kusudi la Mungu? au unategemea mwanamke akuendeshe kama roboti. Kitu kingine hakujawahi tokea tajiri mkubwa dunia hii kama mfalme Suleiman aliyekuwa na wanawake 700, lakini mwishoni akakiri mwenyewe kwamba yote hayo ni ubatiri mtupu na kujilisha upepo, bora kumcha Mungu.
 
Hakuna binadamu yoyote ambae anaweza kusimama kwenye " kusudi la Mungu" kwa sababu anaelijua kusudi la Mungu ni Mungu mwenyewe...

So kwa habari ya kinachoitwa kusimama katika kusudi la Mungu tusidanganyane mkuu..

What am saying is that pesa na ndoa /mahusiano ni vitu vinavyo hitajiana sana kwa sababu vyote ni muhimu..

Ukiwa na.pesa halafu mwanamke akakuvuruga pesa zako zitakusaidia kupata suluhisho la jambo hilo kwa sababu hata huyo huyo mfalme Suleiman ulie mnukuu anasema "Pesa huleta majawabu ya kila kitu"
 
kama Biblia inasema " Wanaume ishini na wake zenu Kwa akili" -maana yake ni kuwa wote walioshindwa kuishi na wake zao hawana akili
Wewe ndio umetafsiri vema, Bibilia imesema kuishi na mwanamke sio kuwa na hela, mbona hao unawawaita maskini wanaishi na wake zao vizuri na unakuta hao wenye hela ameshaachana na mke wake hapo kwenye akili nani? Kutafuta pesa sio akili pekee inayotumika wengine ni za urithi, wengine Mali za kichawi hiyo ndio akili?
 
kwenye hii stread nimeshika moja tu kwamba kwamba " Ukiwa masikini una haki ya kuwa mpweke"
 
Ni kweli masikini wengi wana roho mbaya,wivu,chuki,wachawi..n.k....Masikini wengi hawatauona ufalme wa mbinguni...Umasikini ni laana....Jitahidi vyovyote vile uwe tajiri hata ikibidi kutoa kafara au kuiba ....
Neno linasema "ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa mbinguni"
 
Siku hizi kila mtu anaitafsiri BIBLIA akivutia upande wake.

Wengine wanasema maskini wana roho mbaya hawatauona ufalme wa mbinguni VS "ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa mbinguni"

Na mifano mingine mingi
 
Tatizo letu sisi wenye hela hatunaga muda wa kupiga show kali sababu tunachotaka sisi ni kupiga kojo tuu,hao ambao hawana hela ndio wanatia ufundi katika miili ya watu balaa,hakuna tajiri anayepoteza muda kumstarehesha mtu bali kujistarehesha mwenyewe
Naomba unikopeshe angalau ml. 60 nitakurudishia na faida juu.
 
Neno linasema "ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa mbinguni"
Sawa hawakatai ila kuna mtu alipewa talanta tano akashukuru akaenda akafanyia kazi akampa bwana wake faida ya tano zingine so zikawa kumi.
bwana wake akamvidha joho zuri na kumpa akae kwenye ufalme wake.
na kuna huyu amelipewa na bwana wake talanta 2 akaenda akarudi na talanta 4 hivyo hivyo kapewa aingie kwenye ufalme wake nakupewa mvinyo na joho nzuri avae .
Ila kuna mmoja alipewa 1 akaona haina faida akaifukia .
bwana alimuiliza wewe ulifanyiaje yako akasema mimi niliona haina faida nikaitupa akaitiwa maskari wakamfukuza akatupwa gizani mlango ukafungwa so jidanganye tu .
endelea kuwa mvivu ulipewa talanta ukaifukia eti kwa maana hutaenda Mbinguni kwa hiyo sulemani isaka ibrahimu na daudi hawajaingia mbinguni ?
 
Unamla mtu humpi hata nauli eti kwani situlikula raha wote.
mtu anashida unaambiwa sina bana kwanza mimi sio benki.
sasa mimi nikae na wewe yanini?
msituzeeshe hamna hela piteni hivi kushoto wanaume tutunzeni
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mama manka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom