Kwanini mwanaume masikini haruhusiwi kuoa?

Kwanini mwanaume masikini haruhusiwi kuoa?

Hiki kizazi na tafsiri zao za biblia ni hatarii!! We aliyekuambia akili mtu hupimwa kwa vitu anavyomiliki ni nani?? Huo ni mtazamo wako mkuu, nahisi utakuwa miongoni mwa watu wanaoendelea kusupport upimaji wa akili kwa kutumia MAKARATASI MEUPE YENYE MAANDISHI NDANI YAKE NA KUTOA VYETI!!

Mwanaume kuoa ni kweli yahitaji maandalizi, na maandalizi hayo ni zaidi ya hiki unachokiongelea,

Ushauri: Falsafa, saikolojia na dini havifungamani so unitumie kimoja kuitafsiri kingine.
U live in denial mkuu
 
Umezungumzia pesa za kafara na za kichawi...amna kitu cha kifala kama pesa za kichawi masharti kibao unaweza kuambiwa usigonge sasa nini faida ya pesa kama hugongi..
Soma vizuri Uzi wangu mkuu sijazungumzia habari za kafara
 
kwa maelezo hayo wewe hella unazo?maana hela sio mavuzi kwamba zinaota hata ukiwa mahututi unapumulia mipira.
Ndio maana ili upate hela lazima uwe na akili ya kuzitafuta
 
Kama una ujua mfano wa Adam na Hawa, hapo ndio kwa kuzingatia, sio mali.
 
Kama una ujua mfano wa Adam na Hasa, hapo ndio kwa kuzingatia, sio mali.
Hawa alimkuta Adam analala kwenye godoro?

Nadhani MAISHA ya Adam na Hawa ni uthibitisho tosha kwamba mwanamke anatakiwa kuishi kwenye utajiri.

Adam alikuwa tajiri mkuu..Alikuwa anaishi kwenye utajiri ..Eden ni utajiri ..Mungu akaona si vema Adam mwenye kila kitu aishi peke yake ndo maana akamletea Eva
 
Ulianza kwa kunukuu, kuwa wanaume waishi na wanawake kwa akili. Ni hilo tu, hakuna la zaidi. Mali au bila mali.
 
Ulianza kwa kunukuu, kuwa anaume said hi na wanawake kwa akili. N hilo tu, hakuna la zaidi. Mali au bila mali.
Mbona Oshkosh Bigosh! Husomeki mkuu..what's up?
 
Katika nchi ambayo 78% ya wanainchi wake wanaishi chini ya dollar moja.

katika nchi ambayo income per capita ni $1,004 na zaidi ya 80% ya raia wake hawana uwezo wa kupata milo mitatu kwa siku..

nchi ambayo dependency ratio ni zaidi ya 90% na hii inajumuisha jinsia zote.

Basi kulingana na kilichomo kwenye bandiko lako naamini kabisa nchii yetu imejaa makafiri wengi sana, kiufupi tu nchi yetu ni nchi ya kikafiri sababu ina sifa zote za umasikini ambacho chache nimezitaja hapo juu.

ANYWAY, hili bandiko lako linakumbusha siku moja tumeudhuria moja wapo ya haya makanisa ya kina Gwajima, ulipofika muda wa kutoa sadaka mchungaji alivyotuona bado tumekaa akatuambia eti shetani ametutawala, yaani sisi ni hekalu la shetani kisa tumeshindwa kutoa sadaka...!! Mleta mada akili zako hazina tofauti na za yule mchungaji.
 
hili bandiko zuri halihitaji ukurupuke kaa jenga Logic ya Kinachozungumzwa maskini huwa na maneno makali sana akikupa 1 ni sawa na shombo unaweza usimrudie tena.
 
Biblia hiyo hiyo imesema mwanaume atakula kwa jasho. Sasa utakulaje kama huna kitu apeche alolo? Goodmorning.
 
Unamla mtu humpi hata nauli eti kwani situlikula raha wote.
mtu anashida unaambiwa sina bana kwanza mimi sio benki.
sasa mimi nikae na wewe yanini?
msituzeeshe hamna hela piteni hivi kushoto wanaume tutunzeni
Tatizo letu sisi wenye hela hatunaga muda wa kupiga show kali sababu tunachotaka sisi ni kupiga kojo tuu,hao ambao hawana hela ndio wanatia ufundi katika miili ya watu balaa,hakuna tajiri anayepoteza muda kumstarehesha mtu bali kujistarehesha mwenyewe
 
Katika nchi ambayo 78% ya wanainchi wake wanaishi chini ya dollar moja.

katika nchi ambayo income per capita ni $1,004 na zaidi ya 80% ya raia wake hawana uwezo wa kupata milo mitatu kwa siku..

nchi ambayo dependency ratio ni zaidi ya 90% na hii inajumuisha jinsia zote.

Basi kulingana na kilichomo kwenye bandiko lako naamini kabisa nchii yetu imejaa makafiri wengi sana, kiufupi tu nchi yetu ni nchi ya kikafiri sababu ina sifa zote za umasikini ambacho chache nimezitaja hapo juu.

ANYWAY, hili bandiko lako linakumbusha siku moja tumeudhuria moja wapo ya haya makanisa ya kina Gwajima, ulipofika muda wa kutoa sadaka mchungaji alivyotuona bado tumekaa akatuambia eti shetani ametutawala, yaani sisi ni hekalu la shetani kisa tumeshindwa kutoa sadaka...!! Mleta mada akili zako hazina tofauti na za yule mchungaji.
The only excuse of being broke is to be in jail ...
 
...and this comes from certified drug peddler, should it be taken seriously?
Follow the light and not the bearer..Light is light no matter who bears it.
Upo kwenye chumba chenye Giza..Mchungaji au sheikh akija na mshumaa unaowaka chumba kitakuwa na mwanga .
Akija shoga au jambazi muuaji na mshumaa unaowaka chumba kitakuwa na mwanga uleule
 
Follow the light and not the bearer..Light is light no matter who bears it.
Upo kwenye chumba chenye Giza..Mchungaji au sheikh akija na mshumaa unaowaka chumba kitakuwa na msanga .
Akija shoga au jambazi muuaji na mshumaa unaowaka chumba kitakuwa na mwanga
dude there are some adages have been put top rationalize criminality mfano wa hiyo kauli aliyopitoa 50 cents. Acha kupromote despperation hapa, upnataka watu wawe wezi?
 
Umaskini ni nini?,,na utajiri ni nini?

Niwe na kiasi gani ili niseme kuwa mimi sio maskini??
 
dude there are some adages have been put top rationalize criminality mfano wa hiyo kauli aliyopitoa 50 cents. Acha kupromote despperation hapa, upnataka watu wawe wezi?
Money is money bro..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom