Bongo kweli ni swali la kawaida ambalo linamsaidia muulizaji kutaka kujua kama wewe ni kijeba au ni minor.Naona umesema opposite.
Huku kwetu ndo watu hawapendi kuweka wazi umri wao na ni kukosa heshima kabisa kuuliza.
Happy birthday how old are you?
Mbongo: miaka kadhaa.
mi mwenyewe sitaji umri sahihi ng'oo yanini nionekane mzee wakati umbo ni la kijana wa miaka 21...... hahahaKwanini Swala la umri ni sensitive sana?
I'm always free kutaja umri wangu halafu ukiuliza waliokuuliza hawataji ng'o
Teh teh..Huyo atakuwa na dramatic amnesia
Tatizo wanawake wa jf wanapenda wanaume wenye umri mkubwa sisi wenye umri mdogo hatuna nafasi ndio maana tunadanganya....ll huyo chalii anaweza kuwa ana miaka 21Nilijua wanawake ndo huwa wanadanganya umri (na sielewi Kwanini)
Huyu mkaka nilivyokutana naye alikuwa na miaka 36. Muda ukaenda akawa na 34. Sasa hivi ana 32.
Ukiuliza anapotezea anasema tu "me kweli nina 34". Alivyoniambia ana 32 nikazungusha tu macho.
Kwanini adanganye? Ni rafiki tu.
mwanaume anayepunguza umri wake ujue hana helaNilijua wanawake ndo huwa wanadanganya umri (na sielewi Kwanini)
Huyu mkaka nilivyokutana naye alikuwa na miaka 36. Muda ukaenda akawa na 34. Sasa hivi ana 32.
Ukiuliza anapotezea anasema tu "me kweli nina 34". Alivyoniambia ana 32 nikazungusha tu macho.
Kwanini adanganye? Ni rafiki tu.
hana vyote, hela, akili, exposure na hajiaminimwanaume anayepunguza umri wake ujue hana hela
KijebaBongo kweli ni swali la kawaida ambalo linamsaidia muulizaji kutaka kujua kama wewe ni kijeba au ni minor.
Na lazima atakuwa na aibu kwa wanawake.hana vyote, hela, akili, exposure na hajiamini
Mimi nampenda mdada Fulani halafu yule mdada .....ana miaka 24 kama yangu..ni lazma hapo ni ungeze miaka kadhaaa.....na kama ni mdogodogo under twenty lazma nijifanye mdogo mwenzieeee.....kwa hiyo ninyi beibz mchangia kwa kiasi kikubwa sisi kudanganya miaka.Sijui kwanini watu huwa wanaficha umri, najiulizaga hata sipati jibu