Uenda anakutania pia..Inategemea uwa anakwambia kwenye mazingira ganiLol that's so funny.
Nimehisi labda kawahi kupata midlife crisis. Basi anajiona mzee wakati anataka kuwa kijana.
Aaahhh bas huyo hajiamini anataka wa2 wamuone yuko kwenye chatiNi mmarekani
Those emojis are Hilarious.Hahahaa, ukazungusha macho🙄🙄...kuna mtu wangu wa karibu wa kike lakini,juzi katimiza 46 lakini anasema isomeke 40,teh...hii miaka ni shidaa
Pitia chapat na kahawa kwa mpemba..ha ha ha haaaaaHahahaha loh mi ngemuuliza anko vp na hii reducing method ya miaka??..hahah
Wakati tumekutana ndo alisema ana 36.Ilikuaje kuaje mpaka mkaanza kuulizana miaka yenu?tuanzie hapo kwanza.
Naona umesema opposite.House girl kumbuka kuwa hata kumuuliza mtu umri wake sio jambo linalotakiwa katika jamii zilizoendelea.ukienda ulaya.ukiuliza mtu umri watakuangalia usoni na kukuona wa kuja.Umri wa mtu wa nini?! age is just a number my dear.acheni kuuliza umri wa mtu! kudanganywa ni jibu kuwa mtu hajapenda swali lako la kizushi.