Kwanini mwanamke mpumbavu na sio mbanaume mpumbavu?

Mwazani

Member
May 27, 2010
75
11
Wapendwa, kuna msemo mmoja maarufu sana unasema hivi,

"...Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe..."

Hivi kwanini ni mwanake na sio mwanaume? kwani haiwezekani mwanaume mpumbavu akavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe?

Ni mwendelezo wa kutomwamini na kumdharau mwanamke au?
 
Good question, mimi huwa siutumii kabisa huo msemo; ni kama kukwepa majukumu au kuhamisha lawama. Ndoa iwe nzuri lazima ni mwanamke, iwe mbaya ni mwanamke. Basi watuachie na majukumu yote ya kuendesha nchi kama wao hawawezi kitu na wanapelekwa kama boya na wanawake.

Mwanaume abake, kosa ni la mwanamke; na ajabu ni kuwa baadhi ya wanawake wanaamini kabisa that they are responsible for everything bad/good happening in their family 100%; kwa maoni yangu, huu ni udhaifu wa kiwango cha kutosha!
 
Kwa mazingira ya wayahudi wanawake walikuwa ni viumbe ambao katika jamii walikuwa hawapewi umuhimu kama ikivyo sasa.
Ndio maana ata Yesu alipowalisha watu kwa mkate na samaki ni wanaume ndo walihesabiwa
Tunaambiwa watoto wa Yakobo walikuwa 12 lakini wanawake hawatajwi
Lakini kwa upande mwingine mwanamke ni rahisi kurubuniwa na pia ni mtaalamu wa kurubuni so that as a weakness kwa wanawake wengi
 
Da! umeandika kwa uchungu sana.
 
Wanaume ishini na wanawake wenu kwa akili,kwanini isiwe opposite?
Mpendw, hiyo nayo pia haijakaa vizuri kwa mwanamke. kwahiyo ni mwanaume ndiye anatakiwa aishi kwa akili na mwanamke?
Which means mwanamke ni kiumbe flani usipokuwa makini nacho mambo yatakwenda mrama? au?
Hapo ndipo swali langu lilipojikita
 
ndio maandiko yanavyosema

EDIT: post ya kaunga hapo juu imenikumbusha nchi zingine mwanamke ukibakwa, wewe ndio unaadhibiwa kwa kosa la kuwapa wanaume vishawishi wakubake. sad but true
 
Kwa mazingira ya wayahudi wanawake walikuwa ni viumbe ambao katika jamii walikuwa hawapewi umuhimu kama ikivyo sasa.
Ndio maana ata Yesu alipowalisha watu kwa mkate na samaki ni wanaume ndo walihesabiwa
Tunaambiwa watoto wa Yakobo walikuwa 12 lakini wanawake hawatajwi
So huo msemo ni valid kwa zamani tu? siku hizi ni invalid?
 
Kwa mazingira ya wayahudi wanawake walikuwa ni viumbe ambao katika jamii walikuwa hawapewi umuhimu kama ikivyo sasa.
Ndio maana ata Yesu alipowalisha watu kwa mkate na samaki ni wanaume ndo walihesabiwa
Tunaambiwa watoto wa Yakobo walikuwa 12 lakini wanawake hawatajwi
Lakini kwa upande mwingine mwanamke ni rahisi kurubuniwa na pia ni mtaalamu wa kurubuni so that as a weakness kwa wanawake wengi

Na over 90% ya vitabu vilivyomo ndani ya biblia vimeandikwa na wanaume. In as much as wamevuviwa na Roho Mtakatifu lakini wameongeza opinion zao na ndio maana injili 4 haziko sawa word to word kwa kila muandishi!
 
Wanaume tunajenga a house
wanawake wanajenga a home....

sasa hapa kinachozungumziwa ni a home

mwanamke mpumbavu atabomoa a home yake mwenyewe badala ya kuijenga....

nafikiri ishu ni tafsiri .....ukielewa utagundua wanawake wamepewa umuhimu na sifa kuwa
wao ndio wajenzi wa a home na wapumbavu baadhi yao hubomoa na sio kujenga.....
 
Na over 90% ya vitabu vilivyomo ndani ya biblia vimeandikwa na wanaume. In as much as wamevuviwa na Roho Mtakatifu lakini wameongeza opinion zao na ndio maana injili 4 haziko sawa word to word kwa kila muandishi!

Biblia iliandikwa first kwa lugha ya ki hebrew...
halafu ikatafsiriwa ki latini
halafu kiingereza
hadi ifike kiswahili......haiwezi kuwa the same thing
kuna vitu vimepotea due to translations zoote hizo
 
Na over 90% ya vitabu vilivyomo ndani ya biblia vimeandikwa na wanaume. In as much as wamevuviwa na Roho Mtakatifu lakini wameongeza opinion zao na ndio maana injili 4 haziko sawa word to word kwa kila muandishi!

Cha kushangaza zaidi hata mungu ni mwanaume. Yesu na mtume nao ni wanaume. Papa wote mpaka sasa ni wanaume. Na sijawahi kuona shehe wa kike. Go figure....
 
Nyie mtataka na Yesu wa kike.
Always mwanamke ni chombo zaifu ndio maana mwanaume akaambiwa aishi naye kwa akili.
 
Good question, mimi huwa siutumii kabisa huo msemo; ni kama kukwepa majukumu au kuhamisha lawama. Ndoa iwe nzuri lazima ni mwanamke, iwe mbaya ni mwanamke. Basi watuachie na majukumu yote ya kuendesha nchi kama wao hawawezi kitu na wanapelekwa kama boya na wanawake.

Mwanaume abake, kosa ni la mwanamke; na ajabu ni kuwa baadhi ya wanawake wanaamini kabisa that they are responsible for everything bad/good happening in their family 100%; kwa maoni yangu, huu ni udhaifu wa kiwango cha kutosha!
usibishane na maandiko lakini, vinginevyo suggest tuunde task force ya kupitia upya maandiko!
 
what i don't understand is, kama mwanamke ni dhaifu kiasi hiki then kwa nini mwanaume hauoni huu udhaifu na anafuata ushauri wa kijinga?? also kwa nini home ikibomoka mwanamke ndio wa kulaumiwa, kwani mwanaume (ambaye ni mwenye nguvu/akili) haoni mambo yakienda mrama na kuokoa jahazi badala ya kumlaumu mwanamke when the ship has sunk??
makungwi gfsonwin and FP naombeni kueleweshwa
 
Last edited by a moderator:
Cha kushangaza zaidi hata mungu ni mwanaume. Yesu na mtume nao ni wanaume. Papa wote mpaka sasa ni wanaume. Na sijawahi kuona shehe wa kike. Go figure....

Wapi walisema Mungu ni mwanaume?
unazungumzia Biblia kumuita Mungu baba?

dini zingine hazisemi Mungu ni jinsia ipi
Waislam mfano.Mungu hajatambulishwa jinsia
 
Back
Top Bottom