Kwanini mwanamke amekubali kuolewa halafu hataki kuzaa

Kwanini mwanamke amekubali kuolewa halafu hataki kuzaa

Inahitajika kusikiliza sababu zake wenda ana jeraha la moyo ulimkosea yawezekana likitatuliwa akaridhia
 
.mbona mnafuatilia maisha ya watu sana
Mi nahisi ndoa kazi yake ni pamoja na kuunda undugu. Kwa maana hiyo ndugu wa mke na mume wanazo "hisa" zao ktk ustawi wa hao wanandugu. Ndio ukaona ikibidi kuwatolea mmoja wa hao wanandoa figo huwa wanafatiliwa kwanza ndugu zao😅
 
Mkuu kuolewa na kuzaa vinahusianaje? Watu si wanaoana sababu wanapendana?

Makubaliano maana yake ni ya wawili sasa kama Ke hajakubali basi sio makubaliano...na mwili ni wa mwanamke unaobeba mimba
Ko kuolewa na kuzaa hakuna mahusiano😢. Kumpenda mtu pekee haifany mtu kukuowa. Lakn me anaowa akitalajia umpe watot na heshima ya mme. Sas ukimpenda mtu na hakupi unachohitaji imekaaje hapo🙄
 
Mimi Dada zangu wawili wamekataa kabisa kuolewa na weusi hata kama wana Dini Wallah
 
Kwa upande wa kuzaa watoto; wazungu wana ndoa za aina mbili; marriage with Children and marriage without Children; Isijekuwa alioa marriage without Children
Waislam ndio wana ndoa moja tu ya marriage with Children labda wakosekane kwa mpango wa Mungu;
Hapana walifunga ndoa ya kawaida za kwetu bongo bila conditions yyote. Ingekuwa hivi toka mwazo hii ingemubana uncle asingehitaj tena watot
 
Back
Top Bottom