Kwanini mwanamke amekubali kuolewa halafu hataki kuzaa

Anapewaga nini na huyo mtanga?kaweke camera ili ujue ndugu 🤣🤣
 
Kuzaa sio k*nya
Kuingia kwenye ndoa sio lazima kuzaa,ni maamuzi na makubaliano ya wanandoa wote wawili

Kama mtu hajajipanga kuzaa msikimbilia kujudge
Kungekuwa na makubalian lngekuwa fresh tu lakn ke ndo kipengele. Sas mtu anakubalije kuolewa afu hajajipanga kuzaa😢
 
Kama nimekuelewa vizur,aunt yko hataki kuzaa inaonekana kama ana mtu mwingine ambaye anampenda

Na anko wako pesa ipo ina maana hakuna hofu ya malezi ya watoto

Tatu sio nyie tu mnao lalamika ila ankoli pia haelewi nini kinaendelea

Hapo anko ajiongeze tu,hana mtu hapo
 
Kabisa aisee. 🙏
 
Kungekuwa na makubalian lngekuwa fresh tu lakn ke ndo kipengele. Sas mtu anakubalije kuolewa afu hajajipanga kuzaa😢
Mkuu kuolewa na kuzaa vinahusianaje? Watu si wanaoana sababu wanapendana?

Makubaliano maana yake ni ya wawili sasa kama Ke hajakubali basi sio makubaliano...na mwili ni wa mwanamke unaobeba mimba
 
Mwambie anko aongeze mke apate watoto nae. Asimwache huyu mpwani. Ila aowe mwingine. Mtashangaa mpwani yuko "leba"
 
Mkuu kuolewa na kuzaa vinahusianaje? Watu si wanaoana sababu wanapendana?

Makubaliano maana yake ni ya wawili sasa kama Ke hajakubali basi sio makubaliano...na mwili ni wa mwanamke unaobeba mimba
Ndoa yoyote huwa ina mitihani baina ya wanandoa. Watoto wanasaidia wazazi kuvumilia hiyo mitihani. Ndoa ya mleta mada inaelekea yupo mwanandoa hataki kupata mtoto kinyume na uhitaji wa mwenzie. Na ndio maana title ya mada ni kuwa vipi utake kuolewa lakini hutaki kuzaa?
 
Back
Top Bottom