Huu ndio ushauri wa kiume.Tafuta pesa mkuu,
Hivi...[emoji45]wanawake ni wabinafsi.
OVAAAA.
Ohooooo...[emoji87] [emoji87] [emoji87]Yaani nimpe mwanaume hela, naumwa labda
Vijana wa kisasa ni wavivu kupita kiasi, alafu wanalalamikaaaaaaBaaas! Mwanamke anapofanya kazi ambayo ni yako mwanaume tena bila sababu za msingi kama ugonjwa, ni lazima usimangwe. Beba zege if you must, kuitwa kichwa cha familia sio mchezo, you have yo earn it!
Nakataa kwa hilo Chief...wanawake wa zamani walikua mama wa nyumbani(house wives) walikua hawana kipato tofauti na wa siku hizi wanawake wengi wanafanya kazi(wana kipato) kwa hiyo sioni kama ni sawa kudemand kwa mwanaume wakati na yeye mwanamke ana income...jiulize hela yake anapeleka wapi? huu ni usefenge kwa kweli na ndio maana tunazalisha tunasepa....tukiwa na minyege yetu tunaingia road michati kibao.....ni bora nilale wima kitandani kuliko kuishi na hawa wadudu a.k.a mbung'o...kwa sababu toka ulimwengu uumbwe hakuna pahala popote palipoandikwa mwanamke atamlea mwanaume kutokana na uvivu wa wanaume ndio wamehalalisha ilo ndio sababu wanawake wanasimanga huwezi pingana na nature hata siku moja
Afadhali kama na wewe mwanamke ameligundua hilo, kwahiyo conclusion ni kuwa ndivyo walivyo ,ingawa hata mimi nakuunga mkono kuwa sio wote,kwahiyo ni sisi wanaume kujitahidi kuzitafuta pesa kwa udi na uvumba ili kuishi nao mpaka mwisho wa mahusiano yetu.ni tabia ya mtu tu maana kuwa wanaume pia wakikuhudumia lazima awasimulie rafiki zake tena ukimkosea ndo atawasimulia kila kitu alichowahi kukupa, ni roho ya mtu tu although ni wanawake wachache sana wanaoweza kumhudumia mwanaume bila kuleta maneno maneno au manung'uniko
pamoja sana mkuuAfadhali kama na wewe mwanamke ameligundua hilo, kwahiyo conclusion ni kuwa ndivyo walivyo ,ingawa hata mimi nakuunga mkono kuwa sio wote,kwahiyo ni sisi wanaume kujitahidi kuzitafuta pesa kwa udi na uvumba ili kuishi nao mpaka mwisho wa mahusiano yetu.
Aisee,Mkuu hata hujui kanuni za uandishi???