Kwanini Mwami Zitto Zuberi Kabwe hashuki kisiasa?

MAHORO

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
7,585
Reaction score
2,571
Nimefuatilia Sana na kufanya ka uchunguzi kadogo Sana ingawa Sina data za kutosha , nimegundua kwamba miongoni mwa wanasiasa ambao wamebaki kwenye chati yao waliyoanza nayo ni huyu kijana zitto

Nimemufahamu zitto tangu kwenye kashfa ya Buzwagi ambapo ndipo alipata umaarufu wake na ameendelea kuwa maarufu inchi nzima mpka leo , kana kwamba hata mtoto mdogo anamjua

Hii Ni tofauti na wanasiasa wengine ambao walikuja juu kwa Kasi Sana lakin leo hawasikiki , mfano John mnyika , kafulira , lema na msigwa ..

Najiuliza , kwanini huyu yeye bado Yuko kwenye chati kiasi hiki, na napenda kumpongeza Sana na naomba agombee uraisi mwakani kama umri utamruhusu ..
 
Anaitwa OMWAMI ZITTO KABWE RUYAGWA.

In God we Trust
 
zitto anakubalika kigoma na Tanzania yote.

nadhani 2020 polisi wasipoisaidia ccm zito chapu faster anakuwa mbunge. lakini anajua fika kuwa policcm, neccm hawapo tayari kumpa ushindi sasa anajipanga kwa urais. binafsi nitampigia kuraaa.

Kazi na Bata.
 
Labda kwenu chadema mizee ya micharuko walahi
CHAMA CHA FLUSH NDIO MNASEMA LIJAMAA LIKO JUU?
Hivi nyinyi BAVICHA wachaga wamewalipua kabisa walahi
Hahahaha uwiii mcharuko kwishney

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba wakija mtasikia zitto hashuki kutoka wapi juu ya mti? Naona moja la Lumumba buku Saba limeshafika uncircumcised baboon by Ayi Kwey Armal, The beautiful one are not yet born in Tanzania.
 
Kuna mjinga mmoja atajinyonga zitto akirudi bungeni 2020
 
Back
Top Bottom