Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Unadhani kwanini MUNGU hakuumba dhahabu Uchagani akaumba Usukumani kwa wingi sana na kwa uchache kwingineko?
Wachaga wangetawala dunia hii. Benki Kuu ingekuwa mali yao.alijua watachinjana wale, manake akiona pesa undugu badaye. akaenda kupeleka dhahabu kwa mabumunda yasiyo na akili kabisa huko yanavaa shanga mwili mzima hata wanaume (watani zangu, kidding).
kwahiyo andio akaamua kuwanyima dhahabu na masaburi? akawapa asas?Wachaga wangetawala dunia hii. Benki Kuu ingekuwa mali yao.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wachaga utawajuwa tu ukiwadondoshea kitu kizito utosini. No question is stupid but the answer, Carl Sagan.Hongera Kwa kua mtu wa kwanza kuuliza swali la kipumbavu ambalo sijawahi kuona kwenye maisha yangu
Tusaidie maarifa mkuu.Unadhani mungu ndio kaumba dhahabu?
Kwa sababu hapo walipo siyo asili yao ni wakimbizi wa zamani wa Kimisri (mafarao) walifurushwa na wayahudi hao.Unadhani kwanini MUNGU hakuumba dhahabu Uchagani akaumba Usukumani kwa wingi sana na kwa uchache kwingineko?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mirerani ni Uchagani au Umasaini?Kwanini usijiulize kwanini hakuumba mlima kilimanjaro usukumani
Dhahabu na Tanzanite ipi Ina thamani zaidi? Usukumani Kuna Tanzanites?
Tangu lini mtu mweusi akawa muyahudi?Kwa sababu hapo walipo siyo asili yao ni wakimbizi wa zamani wa kiyahudi hao.
Hivi ule mlima una dhahabu kumbe?Unadhan kwann mlma kilimanjaro hauko Geita
hao siyo wayahudi, hao wajukuu wa Ham. Walikimbizwa na wayahudi wa aethiopia, wakakimbilia kujificha chini ya mlima hiuko, wakitokewaa huku wanazunguka huku, ndiyo maana wakauzunguka huo.
Ham alielaaniwa na baba yake ndio baba wa watu wote weusi duniani sio wachaga tuhao siyo wayahudi, hao wajukuu wa Ham.
Nani alikwambia wayahudi ni weupe?
Uzi ufungweHongera Kwa kua mtu wa kwanza kuuliza swali la kipumbavu ambalo sijawahi kuona kwenye maisha yangu
Exactly maana pia: UDadisi ndiyo akili. Uhakika Bro (2023)Chizi anakuwaje mwenye akili?
But every question is a cry to understand the world. There is no such thing as a dumb question, Dear Abby (1970).
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app