Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.

Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?

Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?
 
Na unapoelekea utatuuliza kwanini hakuweka Tako likawa Moja ila ameamua kuyapasua yawe mawili ni upotevu wa muda,na angeweka Moja muda utakaopatikana huenda angetumia hata kujipumzikia,itoshe kusema Mungu yupo na uamini hivyo pia Baki na jibu Kila alichoumba ana kusudi lake kujiuliza sana mwisho ni kufuru na kufuru ni Jahannam.
 
Upo sawa kweli?

20240129_230621.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.

Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?

Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?

Si kweli!
Hakuna ubaya kutotahiri na hakuna ubaya kutahiri. Kwan mungu aliumba na makusudi
Kwa wakristo au wayahudi Tohara ilitumika kama Agano kati ya Mungu na wao wakiwa njiani kurudi nchi ya Ahadi.
Hili lilikua suala la kimila zaidi na kimaagano.
Ingawa kuna baadhi ya dini au jamii zinachukulia ni ustaarabu
 
Huwa hakuna swali la kijinga duniani. Sina jibu mkuu "afsa usafiri na usafirishaji"!Mimi mwenyewe huwa najiuliza:Kwa nini Mungu hakuumba binadamu awe ameshazeeka kabisa?🤔
 
Si kweli!
Hakuna ubaya kutotahiri na hakuna ubaya kutahiri. Kwan mungu aliumba na makusudi
Kwa wakristo au wayahudi Tohara ilitumika kama Agano kati ya Mungu na wao wakiwa njiani kurudi nchi ya Ahadi.
Hili lilikua suala la kimila zaidi na kimaagano.
Ingawa kuna baadhi ya dini au jamii zinachukulia ni ustaarabu
Yes, hii ilikuja enzi za abraham, alijitahiri yeye mwenyewe na akatahiri kila aliye ndani ya nyumba yake. Kila mtoto wa kiume lazma atahiriwe.
Jamaa umejibu vizuri, zingine baada ya jibu hili ni stry tu
 
Fatilia historia ya tohara
Ilianzia israel na nia yake ilikuwa ni kuwatofautisha wana wa israel na wa ulimwengu mzima ilikuwa ni mfano wa nduwi
(ni agano kati ya wana wa israel na Mungu)
Ni Agano kati ya Ibrahimu na Mungu..
Sio Israel Mkuu!
Maana kuna watoto wa Ibrahimu wasio Israel wengi tu

Swali kwani ilishindikana watoto wa Ibrahimu wakawa wanazaliwa wakiwa wametahiriwa wote..?

Kama wanavyozaliwa wengine wakiwa na Ngozi ya albino au vyovyote vile?
 
Si kweli!
Hakuna ubaya kutotahiri na hakuna ubaya kutahiri. Kwan mungu aliumba na makusudi
Kwa wakristo au wayahudi Tohara ilitumika kama Agano kati ya Mungu na wao wakiwa njiani kurudi nchi ya Ahadi.
Hili lilikua suala la kimila zaidi na kimaagano.
Ingawa kuna baadhi ya dini au jamii zinachukulia ni ustaarabu
Lakini ilikuwa symbol ya Utakatifu pia kabla paulo hajaja kuitoa
 
Back
Top Bottom