First gentleman n mfanya biashara mkubwa Sana hivo Hana show off za kutaka kuonekana kila mahali.yuko bize kutengeneza chapaa
Walahi mama katupa kibarua wana JF, yaani watu wakikaa ni Mama mbona hiviiii. Mama mbona vileeeee?Yaani mkuu unakaa na kuja na mada kama hii,kweli middle class ya watanzania ni changamoto sana,huwezi jua labda hataki kuwa public figure,labda anaumwa,labda ana pilika zake zingine,labda amesafiri ila ameamua kuwa out of press etc etc
Wewe ni chizi japo umenifanya nimecheka mbele ya watu wa heshimaKuwa mwislamu Raha Sana , yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan , Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri .... I wish I could be a Muslim in jiwe's voice
Afadhali tu wafunge lile jengo lao bovu pale mtaa wa ufipa.Chadema hamna ajenda kwa sasa