Kwanini mtu anaamua kujiua??

Kwanini mtu anaamua kujiua??

Kujiua ni uamuzi mgumu zaidi kuufanya, ingawa mimi mwenyew apa natamani nisingekuwepo duniani lkn siwezi kujiua ila km ingekuw rahs basi ningejiua siku mingi kwakweli
 
Kwa matatizo ya Biashara wakati fulani na kutapeliwa nilishaingiwa na mawazo kama haya, is just very hard to explain, is like hutaki give up, but lots of pressure, and u protect your reputation na ku dissapoint watu, hawa watu wanaitaji kusaidiwa sana hasa na watu wenye ujuzi.

Habari zenu , ,
Inakuwaje mtu anaamua kujitoa uhai ,Inakuwaje hapo anapatwa na msongo wa mawazo??,yaan ni anakuwa hana option nyingine anaona kujitoa uhai ni suluhisho,,au ni kuwa mkimya sana akipatwa na majanga anakaa nayo kimya,badala ya kupata ushauri?
Nishajiuliza sana hebu wataalam watusaidie hili,inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kujiua,kujitoa uhai wake maana Naona ni kazi ngumu kidogo,,
Na hawa ni aina gani ya watu ,,na wafanyaje ili kuepukana na kufikiria kuijtoa uhai
Asanteni
 
mimi nadhani ni uwezo mdogo kimaamuzi wa kukabiliana na mambo au matatizo endapo yamekukumba!!
anyway kwangu mimi ni ufinyu wa akili mpaka ufikie hatua ya kujiua!!!!
Mkuu kunamatatizo hayapambaniki yaan mtu anakuwa anaona kbs there is no way lazima kifo kimfikie soon tena pengne kwa mateso makali so badala ya kuendelea kuteseka huku kifo kinakuja lkn kinachelewa mtu anaamua kujisepesha tu mapema in an easy way.
 
Mtu anajiua kwa sababu, uwezo wake wa kufikiria unakuwa umefika mwisho na hana pa kuelezea tatizo lake na mbele anaona giza. Hali hii ya kutamani kujiua hata mimi iliwahi kunikumba. Nakumbuka ndo nilikuwa nimeanza chuo mwaka wa kwanza, nyumbani kwetu yakatokea matatizo yaliyonihusisha mimi moja kwa moja , na walezi waliokuwa wananisomesha wakatishia kuacha kutoa msaada kwangu. Hapo mawazo ya kujiua yalinitawala nilijiona mnyonge hakuna aliekuwa upande wangu. Namshukuru sana Mungu alinikutanisha na mama mchungaji mmoja ambae alinijenga kiimani na kunifanya nione matatizo ni sehem ya maisha. Hadi leo hii nikipata tatizo lolote nawashirkisha watu wangu wa karibu sikai nalo peke yangu
 
Kujiua ni uamuzi mgumu zaidi kuufanya, ingawa mimi mwenyew apa natamani nisingekuwepo duniani lkn siwezi kujiua ila km ingekuw rahs basi ningejiua siku mingi kwakweli
Na hivi raisi ndio yupo hivi na makonda wake waweza jiua kabisa ahhaha
 
Mtu anajiua kwa sababu, uwezo wake wa kufikiria unakuwa umefika mwisho na hana pa kuelezea tatizo lake na mbele anaona giza. Hali hii ya kutamani kujiua hata mimi iliwahi kunikumba. Nakumbuka ndo nilikuwa nimeanza chuo mwaka wa kwanza, nyumbani kwetu yakatokea matatizo yaliyonihusisha mimi moja kwa moja , na walezi waliokuwa wananisomesha wakatishia kuacha kutoa msaada kwangu. Hapo mawazo ya kujiua yalinitawala nilijiona mnyonge hakuna aliekuwa upande wangu. Namshukuru sana Mungu alinikutanisha na mama mchungaji mmoja ambae alinijenga kiimani na kunifanya nione matatizo ni sehem ya maisha. Hadi leo hii nikipata tatizo lolote nawashirkisha watu wangu wa karibu sikai nalo peke yangu
Pole frem,Mungu ni mwema hakika,,,humpa faraja kila mtu
 
Kwa matatizo ya Biashara wakati fulani na kutapeliwa nilishaingiwa na mawazo kama haya, is just very hard to explain, is like hutaki give up, but lots of pressure, and u protect your reputation na ku dissapoint watu, hawa watu wanaitaji kusaidiwa sana hasa na watu wenye ujuzi.
Pole sana uttoh2002
 
Stress n mbaya sana
Usiombe ukaingiliwa na
Msongo wa mawazo
 
Habari zenu , ,
Inakuwaje mtu anaamua kujitoa uhai ,Inakuwaje hapo anapatwa na msongo wa mawazo??,yaan ni anakuwa hana option nyingine anaona kujitoa uhai ni suluhisho,,au ni kuwa mkimya sana akipatwa na majanga anakaa nayo kimya,badala ya kupata ushauri?
Nishajiuliza sana hebu wataalam watusaidie hili,inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kujiua,kujitoa uhai wake maana Naona ni kazi ngumu kidogo,,
Na hawa ni aina gani ya watu ,,na wafanyaje ili kuepukana na kufikiria kuijtoa uhai
Asanteni
ukisikia DUNIA ina mambo ni kama hivyo, kuwa uyaone sio majengo wala barabara za lami, ni watu na matukio .ni matoke ya kushindwa kudhibiti mihemko yenye kuleta mgandamizo wa hasira kali humfanya mtu kufanya jambo ambalo baadae akitulia hujutia , lkn akiwa ameisha jitoa uhai ndo mwisho wa habari.
 
Stress n mbaya sana
Usiombe ukaingiliwa na
Msongo wa mawazo
Ni mbaya sana lakin ukiona vile fanya kitu kinachokifurahisha,mi iliwah nitokea hiyo lakin nilikuwa karibu na mtu ambae alikuwa ananifariji na kunifurahisha hatimae yaliisha nadhani bila ya hivyo ningejiua
 
Yap hyo n mbaya sana
Lazma ujichangamye na watu
Kupga story ili kusahau maana
Ukikaa pekeako n rahis kujichukulia
Maamuz magumu

Nakumbuka ilitokea 2015
Yan kama co kujichanganya na
Watu kitaan na nashukuru me
N fancy wa football hvyo
Yale makelele ya ubish
Plus story za hapq na pale
Zlinisaidia sana

Japo ilinichuka 1 months
Kurud normal

Kama c kufanya hayo
Ngekua nishajitundika
Mapemaaa miguuu
Inaninginaaa t juuu

Na n haya haya tu
Mapenz yanayoitwa mapenz

Hiii kitu n mbaya,sana yan
 
Yap hyo n mbaya sana
Lazma ujichangamye na watu
Kupga story ili kusahau maana
Ukikaa pekeako n rahis kujichukulia
Maamuz magumu

Nakumbuka ilitokea 2015
Yan kama co kujichanganya na
Watu kitaan na nashukuru me
N fancy wa football hvyo
Yale makelele ya ubish
Plus story za hapq na pale
Zlinisaidia sana

Japo ilinichuka 1 months
Kurud normal

Kama c kufanya hayo
Ngekua nishajitundika
Mapemaaa miguuu
Inaninginaaa t juuu

Na n haya haya tu
Mapenz yanayoitwa mapenz

Hiii kitu n mbaya,sana yan[/QUOTE

Uwiii, ashukuriwe Mungu kwa hilo maana unawezaje kufa kwa ajili ya mtu wakati kila siku wanazaliwa wapya tena wazuri zaidi. tujifunze ku uacha moyo ufanye kazi yake, maana la sivyo tutaangamia.

Pole sana na hongera kwa hatua uliochukua maana ungewaachia wazazi machungu mengi.
 
Kuna vtu vya kujarbu lakin
Co kifo ukijarbu kifo
N sawa na kujarbu kuuza/kubugia
Ungaz
Kuna mwingine alikosana na mmewe ,,kumbe akaenda kunywa sumu kidogo ili yaishe weee kwani aliponaaa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]

Alifkir n pombe impatie
Ucngz wa masaa kadhaa
 
Moyo ukishindwa kubeba tatizo kihisia, ukiona huna way out of your problems... Kukosa watu wa karibu wa kukushauri na kukufariji ama kukupa matumaini
 
mimi nadhani ni uwezo mdogo kimaamuzi wa kukabiliana na mambo au matatizo endapo yamekukumba!!
anyway kwangu mimi ni ufinyu wa akili mpaka ufikie hatua ya kujiua!!!!
Bakisha akiba ya maneno mkuu hulijui la mbele yako
 
Back
Top Bottom