tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Wanaamua kujiua kwasababu wametaka kujiua
Kabisa mkuu. Huwa kuna kaupepo fulani kakipita unaweza...It was 15 years ago nikiwa form 6 nilipatwa na hiyo hali. Kabla na baada ya hapo huwa najisemea moyoni kuwa mimi ni mgumu. But that time mmm I don't know what helped to move out maana nilikuwa nimeshaanza kuwa na hayo mawazo. Ishu ilikuwa ni baada ya kumusimulia rafiki yangu kisa changu badala ya kunishauri he ended up laughing na kunikebehi kwa muda mrefu. Kiufupi inatokea hata uweje inawezekana.Zamani nilikua nashangaa ila ni jambo ambalo mtu unaweza kufanya aisee
Nadhani wanakuwa na siri nzito sana moyonii,,ni wabinafsi sijuiNakupa mfano mdogo
Miongo kadhaa iliyopita,nilikuwa nakwenda kigoma kila baada ya siku 3.
Muda wa jioni tulikuwa tunakaa Railway Club kupata moja mbili.
Kuna siku RPC wa wakati huo alikuwa anasikitika sana kwa nini mtu anaamua kujiua.
Hii ni kwa sababu kuna memba wetu aliamua kujinyonga mpaka kufa.
Basi wiki iliyofuata yule RPC nae aka ji shoot kwa kutumia silaha yake.
Hitimisho.
Kuna mambo mengi ambayo sisi wanadamu bado hatuyajui.
Pengine wewe kesho utajiua.
Sasa mimi najiua wiki ijayo nimeona bora nikuage kabisa niridhike[emoji17]Ila watu wengi wanaojiua ni kama wameplan kuwastress wengine tu.
Unakuta mtu anapanga kujiua halafu anatoa taarifa, huo si ni uhuni kabisa?
Kama mtu anataka kujiua ahakikishe hata baada ya kujiua maiti yake haitaonekana, vinginevyo ni usumbufu tu.
Baada ya kufanya yote yale hujaridhika na sasa unapanga kujiua?.......Well, ukifika huko wasalimie. Mwambie Mwl Rais wa JMT ni JPM.Sasa mimi najiua wiki ijayo nimeona bora nikuage kabisa niridhike[emoji17]
Usirudie tena my dia hiyo hali hutokea pale unatengwa na ndugu au marafiki au mpenzi,matatizo kukuandama na kujihis kama una mikosi,,lakin ni kuomba unachoamini na kuamini kuwa yatakwishaa maana kila mwanzo huwa na mwisho,,ubarikiweKuna muda unapatwa na.matatizo hadi unajiona upo peke yako dunia nzima, unasahau kama kujiua ni dhambi, unaona bora ujiue ukawe karibu na Mungu.
Nilishawahi kufanya hivi lakini Mungu hakutaka aliniponya kwa maajabu makubwa.
Sitafanya tena.