vannistelrooy
JF-Expert Member
- Jan 31, 2017
- 316
- 644
Ni kweli aisee. WaNAFAIDIKA sana lakini ndo wa kwanza kuukataa.Huu muungano unawafaidisha sana wa zanzibar kuliko wa bara... yaani hata uwe tajiri kama mzee mengi zanzibar haruhusiwi kununua ardhi ajenge nyumba yake ya kuishi hata chumba kimoja
Tunachokitaka kuwe na Uhuru wa kumliki ardhi sehemu yoyote either Tanganyika or Zanzibar, bila kuuangalia idadi ya watu na eneo la sehemu, ndio matunda ya Muungano au wewe unataka Muungano iwe faida kwao lakini kwa Mtanganyika ni hasara, Sifa ya kumliki ardhi iwe tu wewe ni Mtanzania na unaruhusiwa kumliki sehemu yoyote ndani ya Tanzania bila kikwazo. kuhusu bei ni swala la eneo husika mfano Masaki /Osterbay kiwanja ni Bei kubwa kuli kigamboni lakini mfuko ikiwa inasoma unanunua. Tofauti na Zanzibar ambao hairusiwi Mtanganyika kisheria kumliki ardhi.Population ya zanzibar hadi leo hii milion 3 hawajafika hapo ukijumlisha hadi na mbuzi. Wakiruhusu watu wa bara tununue tu wale jamaa watakosa pa kuishi. Sisi bara li nchi likubwa acha waje, ila uzur wazanzibar wengi viwanja wanamiliki kigamboni, ununio, msasani. Sehemu zenye bahar. Bado hawana effect
Zanzibar wana rais wao, NEC yao, waziri wao wa Ardhi, huu muungano una vitu vya muungano kwa kuangalia maslahi ya pande zote mbili bila kuathiri watu wakeTunachokitaka kuwe na Uhuru wa kumliki ardhi sehemu yoyote either Tanganyika or Zanzibar, bila kuuangalia idadi ya watu na eneo la sehemu, ndio matunda ya Muungano au wewe unataka Muungano iwe faida kwao lakini kwa Mtanganyika ni hasara, Sifa ya kumliki ardhi iwe tu wewe ni Mtanzania na unaruhusiwa kumliki sehemu yoyote ndani ya Tanzania bila kikwazo. kuhusu bei ni swala la eneo husika mfano Masaki /Osterbay kiwanja ni Bei kubwa kuli kigamboni lakini mfuko ikiwa inasoma unanunua. Tofauti na Zanzibar ambao hairusiwi Mtanganyika kisheria kumliki ardhi.
Kama ardhi siyo jambo la muungano kwa Znz, je kwa Tanganyika ardhi ni issue ya muungano?...pili ardhi kwao siyo jambo la muungano...
Kwasababu Zanzibar ina katiba yake, pili ardhi kwao siyo jambo la muungano, tatu eneo la zanz ni dogo hivyo si vyema wasiyo wazanzibar kumiliki maana anaweza tokea bwege mmoja akainunua yote! Wapemba akawatimua wakaishi kwenye mitumbwi
Mkuu sijui unanielewa kwani watu wa pande moja kuzuiliwa na Sheria wasimliki ardhi na pande nyingine kuruhusiwa na Sheria kumliki ardhi haiathiri watu ?, Mwingine sehemu ya kupata mkate wake wa kila siku ni Zanzibar lakini anazuiliwa kumliki nyumba wakati huo nchi inatambuli ni mmoja.Zanzibar wana rais wao, NEC yao, waziri wao wa Ardhi, huu muungano una vitu vya muungano kwa kuangalia maslahi ya pande zote mbili bila kuathiri watu wake
Unajibu lisilo na ukweli. unadhani ni watanganyika wangapi wanataka kuja kununua huko ardhi yenu ya bei mbaya na ambayo inatishiwa na kuzam a kwa kiasi cha kutishia asili ya hao? Mafia si ingejaa? Kwani hatuoni ktk tv maji ya bahari yanapotishia makazi? Maji yenyewe ya chumvi. Mjue baadae mtatoa maji toka bagamoyo kwenda huko kadri chumvi inavyoongozeka.Inasemekana Kijiografia Zanzibar Ni ndogo sana kama kila mtanganyika ataruhusiwa kununua ardhi asili yao itapotea.
Cha ajabu Mambo yote yanayohusu Muungano yanaendeshwa na fedha yanayotoka kwa mlipa Kodi wa Bara kuanzia mshara hadi uendeshaji wa maofisini, Cha ajabu viongozi hawaongelei hili swala , bunge hawaseni kwa kuwa wanafaidi kimadaraka na wanailinda ili waendelee kuwa kwenye nyadhifa huo kuliko wananchi wanao lipia kodi.Kama ardhi siyo jambo la muungano kwa Znz, je kwa Tanganyika ardhi ni issue ya muungano?
Kama siyo, kwa nini wanajimilikisha ardhi Bara?
Haya mambo ya muungano ukuyafuatilia utajichosha tu bure.
Kuna siku juzi hapa niliona TBC waziri anayehusika na muungano bara anasemea kule znz kuwa kwa ajira zoote serikalini Bara kwa sekta za muungano, lzm wa-Znz wawe nadhani 20%. Imagine watu m1 wanapewa 20% ya ajira zote za Bara.
Ndo maana wamejaa tele kwny maofisi ya serikali bara. Ila mtanganyika kule Znz hatoboi.
Waliotunga hizi sheria ni kama walitoa incentive nyingi kwa Wa-Znz ili kuwashawishi kuingia kingi
Mbona kimataifa Zanzibar haitambuliki Kama ni nchi ?, nitaendelea kusema Muungano haina faida kwa Mtanganyika bali ina faida kwa watawala wa pande zote.Kwa sababu Zanzibar ni nchi na inakatiba yake, yaliyomo kwenye katiba mengi yanaihusu Zanzibar na wazanzibar, baadhi ya mambo machache tu ndio yamegusia muungano.
Tanzania ni muungano wa nchi mbili, na katiba yake inamtambuwa mtanganyika na mzanzibar.
Kwa kifupi katiba ya Zanzibar haimtambui mtanganyika kama raia halali wa Zanzibar mwenye haki sawa na mzanzibar, yenyewe inatambuwa muungano tu.
Ndo sabb wananchi wanataka Katiba mpya ili mambo ya hovyo kama haya yarekebishwe.Cha ajabu Mambo yote yanayohusu Muungano yanaendeshwa na fedha yanayotoka kwa mlipa Kodi wa Bara kuanzia mshara hadi uendeshaji wa maofisini, Cha ajabu viongozi hawaongelei hili swala , bunge hawaseni kwa kuwa wanafaidi kimadaraka na wanailinda ili waendelee kuwa kwenye nyadhifa huo kuliko wananchi wanao lipia kodi.
dah sikulijua hilo ndug asante mie nlichokuwa nafahamu ni issue tu ya ardhiNikweli Zanzibar haitambuliki kimataifa inayo tambulika ni Tanzania.
Walioweka huu muungano walijikita katika maeneo mawili muhimu Siasa na Utawala hawakuzingatia maeneo mengine muhimu.
Kama hilo pekee ndilo ambalo wao walilitaka, tulipaswa kuwa na matiba ya Tanganyika kama wazanzibar walivyo na katiba yao kisha tuwe na katika ya muungano Kwa mambo yanayohusu muungano, ila mambo ni kinyume chake.
Kwa katiba ya jamhuri mzanzibar akiwa bara anahaki sawa na mtanganyika. Ila Kwa katiba ya Zanzibar mtanganyika akiwa Zanzibar hana haki sawa na Mzanzibar.
Ipo shida mahali ila wakubwa hawako tayari kugusa jambo hili.
Huenda tukapata mwanga kupitia maamuzi ya mahakama kwenye kesi ya Uchaguzi wa TFF maana inahusisha muungano. Na hii inaweza kuwa mwanzo wa mengi yaliyo kwenye kichaka cha muungano ila ki-uhalisia yanatendeka kibaguzi.
Sio nchi kwa sababu haipo kwenye orodha ya nchi mbali mbali Duniani , na hwaitambuliki Kama nchi bali wanaitambua Kama portion iliopo Tanzania, na hata ubalozi inayowkilisha nchi mbali mbali wanafanya kazi Tanzaniaia na sio Zanzibar, Mkopo na msaada yanapewa Tanzania na sio Zanzibar,Zanzibar ni nchi...
Kivipi?Ujinga
Basi sawa. Jinyonge.Unajibu lisilo na ukweli. unadhani ni watanganyika wangapi wanataka kuja kununua huko ardhi yenu ya bei mbaya na ambayo inatishiwa na kuzam a kwa kiasi cha kutishia asili ya hao? Mafia si ingejaa? Kwani hatuoni ktk tv maji ya bahari yanapotishia makazi? Maji yenyewe ya chumvi. Mjue baadae mtatoa maji toka bagamoyo kwenda huko kadri chumvi inavyoongozeka.