Kwanini Mtangayika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar wakati Mzanzibari anamiliki ardhi Tanganyika?

Population ya zanzibar hadi leo hii milion 3 hawajafika hapo ukijumlisha hadi na mbuzi. Wakiruhusu watu wa bara tununue tu wale jamaa watakosa pa kuishi. Sisi bara li nchi likubwa acha waje, ila uzur wazanzibar wengi viwanja wanamiliki kigamboni, ununio, msasani. Sehemu zenye bahar. Bado hawana effect
 
Tunachokitaka kuwe na Uhuru wa kumliki ardhi sehemu yoyote either Tanganyika or Zanzibar, bila kuuangalia idadi ya watu na eneo la sehemu, ndio matunda ya Muungano au wewe unataka Muungano iwe faida kwao lakini kwa Mtanganyika ni hasara, Sifa ya kumliki ardhi iwe tu wewe ni Mtanzania na unaruhusiwa kumliki sehemu yoyote ndani ya Tanzania bila kikwazo. kuhusu bei ni swala la eneo husika mfano Masaki /Osterbay kiwanja ni Bei kubwa kuli kigamboni lakini mfuko ikiwa inasoma unanunua. Tofauti na Zanzibar ambao hairusiwi Mtanganyika kisheria kumliki ardhi.
 
Zanzibar wana rais wao, NEC yao, waziri wao wa Ardhi, huu muungano una vitu vya muungano kwa kuangalia maslahi ya pande zote mbili bila kuathiri watu wake
 
...pili ardhi kwao siyo jambo la muungano...
Kama ardhi siyo jambo la muungano kwa Znz, je kwa Tanganyika ardhi ni issue ya muungano?
Kama siyo, kwa nini wanajimilikisha ardhi Bara?

Haya mambo ya muungano ukiyafuatilia utajichosha tu bure.

Kuna siku juzi hapa niliona TBC waziri anayehusika na muungano bara anasemea kule znz kuwa kwa ajira zoote serikalini Bara kwa sekta za muungano, lzm wa-Znz wawe nadhani 20%.

Waziri akawaahidi kuwa atasimamia utekelezaji wa hizo ajira kuchukuliwa na wa-Znz kikamilifu.
Imagine watu m1 wanapewa 20% ya ajira Bara.

Ndo maana wamejaa tele kwny maofisi ya serikali bara. Ila mtanganyika kule Znz hatoboi.

Waliotunga hizi sheria ni kama walitoa incentive nyingi kwa Wa-Znz ili kuwashawishi kuingia kingi, kwa gharama ya Watanganyika🙄
 
Kwasababu Zanzibar ina katiba yake, pili ardhi kwao siyo jambo la muungano, tatu eneo la zanz ni dogo hivyo si vyema wasiyo wazanzibar kumiliki maana anaweza tokea bwege mmoja akainunua yote! Wapemba akawatimua wakaishi kwenye mitumbwi
 
Zanzibar wana rais wao, NEC yao, waziri wao wa Ardhi, huu muungano una vitu vya muungano kwa kuangalia maslahi ya pande zote mbili bila kuathiri watu wake
Mkuu sijui unanielewa kwani watu wa pande moja kuzuiliwa na Sheria wasimliki ardhi na pande nyingine kuruhusiwa na Sheria kumliki ardhi haiathiri watu ?, Mwingine sehemu ya kupata mkate wake wa kila siku ni Zanzibar lakini anazuiliwa kumliki nyumba wakati huo nchi inatambuli ni mmoja.

Awali nilisema Kuna changamoto kubwa kuhusu Muungano na faida ni ndogo Sana kwa watanzania lakini wanao faidi Muungano ni watawala tu.
 
wakati wa wazanzibar wanajadili kuondoa gesi na kuhusu mipaka ya bahari nilisikia mahojiano ya Anna Tibaijuka wakati huo akiwa waziri wa ardhi akipinga kuhusisha na swala hilo na ardhi ila ni swala la muda kwani iuwe isiwe serikali ya Tanganyika itakuja kila mtu atakaa kwenye ardhi yake.
 
Inasemekana Kijiografia Zanzibar Ni ndogo sana kama kila mtanganyika ataruhusiwa kununua ardhi asili yao itapotea.
Unajibu lisilo na ukweli. unadhani ni watanganyika wangapi wanataka kuja kununua huko ardhi yenu ya bei mbaya na ambayo inatishiwa na kuzam a kwa kiasi cha kutishia asili ya hao? Mafia si ingejaa? Kwani hatuoni ktk tv maji ya bahari yanapotishia makazi? Maji yenyewe ya chumvi. Mjue baadae mtatoa maji toka bagamoyo kwenda huko kadri chumvi inavyoongozeka.
 
Kama ardhi siyo jambo la muungano kwa Znz, je kwa Tanganyika ardhi ni issue ya muungano?
Kama siyo, kwa nini wanajimilikisha ardhi Bara?

Haya mambo ya muungano ukuyafuatilia utajichosha tu bure.

Kuna siku juzi hapa niliona TBC waziri anayehusika na muungano bara anasemea kule znz kuwa kwa ajira zoote serikalini Bara kwa sekta za muungano, lzm wa-Znz wawe nadhani 20%. Imagine watu m1 wanapewa 20% ya ajira zote za Bara.

Ndo maana wamejaa tele kwny maofisi ya serikali bara. Ila mtanganyika kule Znz hatoboi.

Waliotunga hizi sheria ni kama walitoa incentive nyingi kwa Wa-Znz ili kuwashawishi kuingia kingi
Cha ajabu Mambo yote yanayohusu Muungano yanaendeshwa na fedha yanayotoka kwa mlipa Kodi wa Bara kuanzia mshara hadi uendeshaji wa maofisini, Cha ajabu viongozi hawaongelei hili swala , bunge hawaseni kwa kuwa wanafaidi kimadaraka na wanailinda ili waendelee kuwa kwenye nyadhifa huo kuliko wananchi wanao lipia kodi.
 
Kwa sababu Zanzibar ni nchi na inakatiba yake, yaliyomo kwenye katiba mengi yanaihusu Zanzibar na wazanzibar, baadhi ya mambo machache tu ndio yamegusia muungano.

Tanzania ni muungano wa nchi mbili, na katiba yake inamtambuwa mtanganyika na mzanzibar.

Kwa kifupi katiba ya Zanzibar haimtambui mtanganyika kama raia halali wa Zanzibar mwenye haki sawa na mzanzibar, yenyewe inatambuwa muungano tu.
 
Mbona kimataifa Zanzibar haitambuliki Kama ni nchi ?, nitaendelea kusema Muungano haina faida kwa Mtanganyika bali ina faida kwa watawala wa pande zote.
 
Nikweli Zanzibar haitambuliki kimataifa inayo tambulika ni Tanzania.

Walioweka huu muungano walijikita katika maeneo mawili muhimu Siasa na Utawala hawakuzingatia maeneo mengine muhimu.

Kama hilo pekee ndilo ambalo wao walilitaka, tulipaswa kuwa na matiba ya Tanganyika kama wazanzibar walivyo na katiba yao kisha tuwe na katika ya muungano Kwa mambo yanayohusu muungano, ila mambo ni kinyume chake.

Kwa katiba ya jamhuri mzanzibar akiwa bara anahaki sawa na mtanganyika. Ila Kwa katiba ya Zanzibar mtanganyika akiwa Zanzibar hana haki sawa na Mzanzibar.

Ipo shida mahali ila wakubwa hawako tayari kugusa jambo hili.

Huenda tukapata mwanga kupitia maamuzi ya mahakama kwenye kesi ya Uchaguzi wa TFF maana inahusisha muungano. Na hii inaweza kuwa mwanzo wa mengi yaliyo kwenye kichaka cha muungano ila ki-uhalisia yanatendeka kibaguzi.
 
Cha ajabu Mambo yote yanayohusu Muungano yanaendeshwa na fedha yanayotoka kwa mlipa Kodi wa Bara kuanzia mshara hadi uendeshaji wa maofisini, Cha ajabu viongozi hawaongelei hili swala , bunge hawaseni kwa kuwa wanafaidi kimadaraka na wanailinda ili waendelee kuwa kwenye nyadhifa huo kuliko wananchi wanao lipia kodi.
Ndo sabb wananchi wanataka Katiba mpya ili mambo ya hovyo kama haya yarekebishwe.

Ccm hawataki Katiba mpya ili waendeleze unyonyaji
 
Nikweli Zanzibar haitambuliki kimataifa inayo tambulika ni Tanzania.

Walioweka huu muungano walijikita katika maeneo mawili muhimu Siasa na Utawala hawakuzingatia maeneo mengine muhimu.

Kama hilo pekee ndilo ambalo wao walilitaka, tulipaswa kuwa na matiba ya Tanganyika kama wazanzibar walivyo na katiba yao kisha tuwe na katika ya muungano Kwa mambo yanayohusu muungano, ila mambo ni kinyume chake.

Kwa katiba ya jamhuri mzanzibar akiwa bara anahaki sawa na mtanganyika. Ila Kwa katiba ya Zanzibar mtanganyika akiwa Zanzibar hana haki sawa na Mzanzibar.

Ipo shida mahali ila wakubwa hawako tayari kugusa jambo hili.

Huenda tukapata mwanga kupitia maamuzi ya mahakama kwenye kesi ya Uchaguzi wa TFF maana inahusisha muungano. Na hii inaweza kuwa mwanzo wa mengi yaliyo kwenye kichaka cha muungano ila ki-uhalisia yanatendeka kibaguzi.
dah sikulijua hilo ndug asante mie nlichokuwa nafahamu ni issue tu ya ardhi
 
Zanzibar ni nchi...
Sio nchi kwa sababu haipo kwenye orodha ya nchi mbali mbali Duniani , na hwaitambuliki Kama nchi bali wanaitambua Kama portion iliopo Tanzania, na hata ubalozi inayowkilisha nchi mbali mbali wanafanya kazi Tanzaniaia na sio Zanzibar, Mkopo na msaada yanapewa Tanzania na sio Zanzibar,

kujidai Zanzibar ni nchi ni kutojitambua kwa sababu imekosa mamlaka kamili, kwa ujumla alivyosema mjumbe hapo juu naona kuwe na serikali tatu, ikisindikana serikali ya mapinduzi ya zanzibar ivunjwe ibaki mikoani Kama mikoa mengine , serikali iwe moja Rais atoke popote ili mradi awe na sifa ya kuwa Rais na watumishi wa Uma waingizwe kwenye idara mbali kulingana na majukumu yao ya awali, Bunge ya wawakilishi ifutwe.
 
Unajibu lisilo na ukweli. unadhani ni watanganyika wangapi wanataka kuja kununua huko ardhi yenu ya bei mbaya na ambayo inatishiwa na kuzam a kwa kiasi cha kutishia asili ya hao? Mafia si ingejaa? Kwani hatuoni ktk tv maji ya bahari yanapotishia makazi? Maji yenyewe ya chumvi. Mjue baadae mtatoa maji toka bagamoyo kwenda huko kadri chumvi inavyoongozeka.
Basi sawa. Jinyonge.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom