Kwanini Mtanganyika hawezi kugombea urais Zanzibar?

Unajiona unawine kwakauli zako,
Kwa taalifa yako Zanzibar ni koloni letu
Na hizo sheria zemewekwa ili kuwafanya muendelee kulala huo usingizi mlionao mpaka sasa.
 
Tunatakiwa tujiulize sisi watanganyika kwa ujumla, kwanini tunawalazimisha wazanzibar kuwa kwenye muungano?
Matokeo yake tunawapendelea wazanzibar ili tu wabaki kwenye muungano
Nani anawalazimisha Zanzibar wabaki kwenye Muungano?

CCM kwa manufaa Yake ndio inafanya kazi hiyo. Muungano ukifa Basi Roho ya CCM inarudi kwa Muumba.
 
Kwani kinachofanya tuwang'ang'anie ninn? Mbona sisi ndio wakwanza kukumbatia muungano? Kwanza tuna roho mbaya tunaona day tukiwaachia mwaka mmoja tu watakua na maendeleo kwa muda mdogo, lakini kutokana na tohozetu mbaya hatutaki tuwape uhuru wao
Kipi kinawazuia kuwa na hayo maendeleo?
 
Pole ya nini?? Mnaumia mno mukickia neno "waarabu" hivi kuna jamii yoyote duniani watu wake wakarimu kama waarabu? Tusemeni ukweli bila kutia chuki mzehe. Wewe kama wanakukera kaa kimya mzehe
labda ukarimu wa biashara ya utumwa.
 
Biashara ya utumwa labda walifanya mababu zenu/machief wakishirikiana na makafiri wa kizungu,,,waarabu mtawasingizia bure tu mzehe.
Sehemmu zote centre za biashara hiyo uislamu ulishamiri.
Ujiji, Tabora, Bagamoyo, Zanzibar hatuji kwanini waarabu waliokaa ndio masoko ya utumwa yalishamiri
tueleze mkuu.
 
Sehemmu zote centre za biashara hiyo uislamu ulishamiri.
Ujiji, Tabora, Bagamoyo, Zanzibar hatuji kwanini waarabu waliokaa ndio masoko ya utumwa yalishamiri
tueleze mkuu.

Acha dhana zako,,,,wakati wanafanya huo unyambafu ulikuwepo? Najuwa hautakuja na jibu kamili mzehe
 
Acha dhana zako,,,,wakati wanafanya huo unyambafu ulikuwepo? Najuwa hautakuja na jibu kamili mzehe
Jibu kamili ni kuwa uislamu na waarabu wanamchango mkubwa sana kwenye biashara ya utumwa.
Hata madada zatu wanaoenda kufanya kazi za ndani uarabuni wanashuhudia hili,
tofauti na nchi za magharibi.
 
1:- Rais Mwinyi (Mzee ruhusa), aligombania na kuwa rais wa Zanzíbar, na baadae kuwa wa Tanzania.
2;-Mzee Jumbe rais wa Pili wa Zanzíbar nae si Mzanzibari.....
 
Kuwalazimisha ni neno zito kidogo sababu mbona sasa hivi hatuwasikii, ila kwa ujumla huu muungano hatuna faida nao unatutia hasara tu na mbaya zaidi wazanzibari ni wabinafsi na wabaguzi, kule muislam wa Tanganyika nae anaitwa kafir tu.
Usituingize Waislam wa Bara katika mambo yenu. Hamna huruma hiyo kwa Waislam. Tutoe kwenye Agenda yenu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…