simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,211
unamfundisha kazi sio? kwani kukaa peku kunahusiana nn na maisha yako au yeye kuwa peku ameanza leoMisimamo mingine mi nadhani sio mizuri.
Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?
Anaingiaje kwenye public toilets?
Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.
havai hata apande ndege. ana amini chini ya ardhi kuna utajiri mkubwa so akivaa viatu utajiri utashindwa kupenya kwenye unyayoAnavaa bwana.. Havai kwenye show na shooting tu.
ana prado la mill 60, nyumba tatu, show za ulaya kila wiki..miblauzi ndo imafanya hayo yote
nenda googleNenda wewee, hata Madonna hafanyi show za Ulaya kila wiki.
mji ganiMi naishi humo humo Google...
pita kushoto mrisho mpoto anaperfom sasa hivi
pita kushoto mrisho mpoto anaperfom sasa hivi
umeyatamani niniMzee wa mablauzi
Mwaka jana TB joshua katua ardhi ya bongo peku peku mkamsifia kweli kweli,leo hii ndugu yenu mzaramo mrisho mpoto anapekua mna mponda,daah wabongo mna matatizo sana hadi shetani ana wagwaya!!Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.
Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?
Anaingiaje kwenye public toilets?
Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.
Hatembei juani ndo mana. Atembee juani ndo atajua balaa la jua
na safari zake zinaanziaga jioni jua likishazama kama mbayuwayu vile.
anawakilisha uafrica wetu na asili yetu halisiMisimamo mingine mi nadhani sio mizuri.
Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?
Anaingiaje kwenye public toilets?
Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.
Anafanya hivyo due to publicity. Attention, haswa akiona ameenda sehem ambazo watu flani watamuona because nishawahi kumuona kwenye shule moja bagamoyo alienda kum visit kijana wake na alivaa tu vizuri na viatu vyake tena vyakutumbukiza.Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.
Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?
Anaingiaje kwenye public toilets?
Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.