Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

Kwanini Marekani,ulaya na nchi nyingine nyingi ukimwi sio tatizo?Hapa lazima sub sahara tumechezewa mchezo na wazungu.Tafuta post za Deception utajua meng.
 
Nilipata maelezo kutoka kwa mpenzi wangu ambaye pia ni HIV positive, kwamba kila ugonjwa unaoingia mwilini, ili uuathiri mwili ni lazima upokelewe na mwili.

Baadhi ya watu miili yao haina vipokezi ( receiptors) vya baadhi ya magonjwa. Mfano UKIMWI.

Hivyo yawezekana wewe ni mmoja wa wasio na vipokezi vya ukimwi mwilini mwako hivyo huwezi kuambukizwa.

Hilo neno allitaja hivyo sina uhakika kama huandikwa hivyo. Nimepita haraka bila utafiti.
 
Back
Top Bottom