Kwanini Moshi ni mji msafi kuliko yote Tanzania?

Kwanini Moshi ni mji msafi kuliko yote Tanzania?

Mike Scofield

Senior Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
136
Reaction score
49
WanaJF, naomba kufahamishwa,
halmashauri ya Moshi inatumia njia zipi kudhibiti uchafu na kutunza usafi?
 
Wamisionar walianzia kule kwa hiyo hata ustaarabu wameupata kwao nenda vijijini mauwa yamepandwa hadi njia ya kuendea maliwatoni.
 
......wahenga walisema"USAFI NI TABIA" ina maana watu wa moshi ni wasafi na ni wastaarabu.
 
Sababu WANAWAKE ZAO NI WASAFI PITA MAELEZO AKINUKA KWAPA YUKO SITA KWA SABA
 
Wamisionar walianzia kule kwa hiyo hata ustaarabu wameupata kwao nenda vijijini mauwa yamepandwa hadi njia ya kuendea maliwatoni.
kwa usafi nakukubali ule mji ni msafi sana ila sina uhakika kama ukiwa msafi unakuwa mstaarabu
!
 
Ni kweli kabisa Moshi ni kusafi....inabidi viongozi wa miji ya mikoa kama Mbeya na Dar waende kujifunza kinachoendelea kule Moshi......
 
Sababu ni 2, Ya kwanza kamji ni kadogo kwa hiyo ni rahisi kuwa manageable. Ya pili ni topograph. kitendo cho mji kuwa kwenye mwinuko kunasaidia mji kujisafisha kwa upepo na mvua. Hii ndo sababu inayousaidia mji wa Iringa pia kuwa msafi. Sababu ya tatu ya enforcement imekuwa complented na sababu nilizozitaja hapo juu.
 
Kamji kadogo haaaaa I don't believe u write that usafi Ni wa kuzaliwa nao moshi walifata mfumo tangu zamani kwa hiyo watoto wamezaliwa na kuona usafi hata mauwa hawagusi kwani Ni jambo la kawaida kwao we ukiweka dustbin mbele ya nyumba huikuti
 
Kwa sababu mji umedumaa,haujengeki.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ile miaka ya 2001 nakumbuka Moshi ilikua ni miongoni mwa miji michafu. Baadae wakaona waweke sheria za kuwadhibiti wachafusi na halmashauri walisimamia ipasavyo.
 
Back
Top Bottom