Hakuna tatizo ila.Tatizo nini ?
Hata ningekuwa mimi nisingetumia bidhaa za Mo mfano Tambi za Mo, viberiti vya Mo.Hakuna tatizo ila.
Product zinazozalishwa siyo mahususi kwa watu wa level ya juu a.k.a matajiri, hayo ni products za biashara japo yana vipomo vya mahabara.