Kwanini mnyika?

Yaani wewe katika kufikiri kwako kote ukaona sababu ya udini tuu? katafute kwingine kwa kuchokonyoa,na utoe hayo mawazo ktk tafakuri zako zingine.
 
Acheni Udini wenu na tazameni msafara ulokwenda Ikulu kama ni viongozi wa chama na sio dini zao. Hata hivyo picha zinajieleza wazi hivi Zitto ni muislaam safi kuliko wale waliokwenda.. tafuteni sababu nyingine na makristo nao hawajambo kwa kudai issue... haaa! ama kweli Chadema imeingiliwa.
 
Magamba mtahaha sana kutafta dosarı ndanı ya CDM coz chama kınawatu mahırı na hazına ya vıchwa nondo tupu! Wengıne hatujajıtokeza tu subırı oneday tutachomoza!
Nyıe endeleenı kuwafuga vıchwamajı kama Lıvıngstone Lusınde,Majımarefu,Vıck Kamata, Getrude Rwakatale na wengıne nazı nazı mlıorundıka ndanı ya Bunge kwajılı ya kuwatafuna na kupıga meza Ndıyoooooooo!
 
Sipendi unavyochangia mada,jaribu kutumia logic,dini hapa haina nafac na ungefikiri kidogo ucngechezea mambo ya dini
 
@zittokabwe
Zitto Zuberi Kabwe
@MariaSTsehai mkewe dokta na mwanawe ni wagonjwa na alishindwa kuwaacha Arusha peke yao. Nami sipo Tanzania. Mnyika alikaimu Ukatibu Mkuu
29 Nov via Twitter for iPad
Favorite Retweet Reply
 
Zitto amezidi majigambo ya kishamba yule ndiyo maana wenzake wanampotezea tu. Akijirekebisha tutakuwa tunampa akaimu, asipojirekebisha alie tu.

mara nyingne you thnk big,ila sometimes kwa masaburi
 
 
Sasa dini yake inahusianaje na responsibility ya Zitto?
 
.....hamna utata wowote hapa, haya ni majungu, ndani ya chama twawala, wanaita fitina!!! uzipeleke huko huko walikozoea (kwenye magamba)
 
.......umeshauri vema mkuu! hawa ndo wale mawazo yao yalioko utumwani!!!!
Yaani wewe katika kufikiri kwako kote ukaona sababu ya udini tuu? katafute kwingine kwa kuchokonyoa,na utoe hayo mawazo ktk tafakuri zako zingine.
 
Zitto akitoa matamko wanasema anatumwa na ccm na atapata kujijenga na kuutwaa uenyekiti wa chama taifa kwa hio cdm wanajitahidi kutompa kipaombele kwenya matamko asije akawapindua wakaskazini wenye chama chao.kwa hio wanamtumia mnyika cos kalelewa na mbowe so hawezi msaliti wanajamii kutompa zitto ukaimu katibu mkuu ni kwa mkakati wa kuhakikisha bado uenyekiti wanabaki nao wakaskazini.
 
Mnyika alikaimu mara mbili nakumbuka wakati wa uchaguzi mkuu na sasa, wakati wa uchaguzi mkuu sababu viongozi wengi walikua majimboni, akiwemo zitto(kigoma kaskazini). Kwa vile mnyika alikua anagombea jimbo la dar na yupo imara ndani ya chama na makao makuu ya chama ndio ilibidi akaimu. Na kwa sasa zitto yupo mapumzikoni. Na pia mzee kimasela anapokuwepo ndio anayekaimu. Khs udini c sababu za msingi.
 
Mimi nasema hivi, Zitto hastahili kukaimishwa kiti cha Ukatibu Mkuu kwa sababu ni 'DOUBLE AGENT'. Mfano kwenye ule mkutano wa juzi kati ya CDM na JK, Je Zitto angekaimishwa alafu mwisho wa siku tunaona tangazo kwa vyombo vya habari amesaini yeye na Emmanuel Nchimbi je ingeleta maana?

Alafu kwa nini mnasisitiza kwa nini Naibu Katibu Mkuu Bara, Zitto Kabwe hakaimishwi mbona hamuliizi kwa nini na yule mwenzake (Naibu Katibu Mkuu) wa Zanzibar hakaimishwi? Au kuna formula kwamba Katibu Mkuu anapokuwa hayupo ni lazima amkaimishe Naibu Katibu Mkuu Bara?

 
Wakuu mimi sio gamba na sitakuwa gamba. Swali hili ni muhimu kujibiwa kwa umakini. Zitto mwenyewe alishawahi kunukuliwa akilalamika udini unamtengenezea maadui ndani ya chama. Na hili la Mnyika kukaimu sio mara ya kwanza. Hii sababu ya ugonjwa sioni kama ina mantiki kwa sababu kwenye ukatibu hakuna kazi ya kubeba zege, ni busara na maamuzi tu. Kama Zitto aliweza kuongea na media alipotoka India na bado akaenda kufungua kongamano la vijana wa kiafrika lililoandaliwa kwa ushirikiano na Bavicha sioni kama ana ugonjwa unaomfanya asiweze kukaimu ukatibu mkuu. Hata kama Dokta Slaa alienda kuuguza familia kipindi ambacho Zitto alikuwa India bado Zitto baada ya kurudi alipaswa kukaimu hiyo nafasi.
Kuna jambo cdm hawataki kuliweka wazi kuhusu Zitto. Ni kama vile haaminiki!
 
Mkuu MK, mi nadhani ingekuwa bora zaidi kama ungelete ushahidi ili kuthibitisha madai yako. Hapa nina maana utupatie incidence kamili ambapo uliona Mnyika amekaimishwa wakati Kabwe yupo na hakukuwa na udhuru wowote. Nadhani hiyo itasaidia kutoa picha nzuri ili usijeonekana unalete umbea.
 
wewe inaelekea kuna jibu unalitafuta, maana unauliza swali, unapewa jibu hutaki kuelewa. Si "add" hapo juu amekuwekea jibu ambalo alilitoa Zitto mwenyewe kwenye twitter kwamba hayupo Tanzania? sasa wewe unataka akaimishwaje tena?
 
Akili za chiriku hizi..........watu wazima badala ya kuzungumzia perfomance ya kilimo kwanza ndani ya mwaka mmoja.......where has the money go? mnaongelea Mnyika na CHADEMA na Zitto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…