Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,744
- 5,771
Kwa hiyo Komu na Selasini bado wapo Chadema?Kwa hili la Mwambe ukiwa na akili timamu huwezi kulitetea....!. Labda ujitoe ufahamu........
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yake Cecil alikuwa Daktari maarufu na aliyeheshimika sana pale Ndanda Mission hospital.Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka Chadema.
Yeye aliondoka Chadema sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.
Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama Chadema na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka spika awatimue bungeni?
Cecil Mwambe alisema amehama Chadema na atagombea kupitia Ccm kwenda bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.
Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.
Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona.Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoobdoka.
.Wamebaki kutumia #covid19 kama silaha yao... Hawajui inatwanga potepote
Kwa ujumla anainfluence kubwa maana Ccm walimletea mizengwe akaenda kujibanza Chadema na akashinda.Baba yake Cecil alikuwa Daktari maarufu na aliyeheshimika sana pale Ndanda Mission hospital.
Dr Mwambe alikuwa ni mwadilifu kweli kweli hata Cecil alishinda Uchaguzi kwa sababu ya umaarufu wa baba yake siyo yeye.
Cecil anapaswa kulikumbuka hilo pia...... anaweza akatumika sasa na baadae CCM wakamtosa kwa udhaifu huo huo.
Anakaa kama mbunge wa chama gani? Au ni mbunge wa kujitegemea? Na kama ni hivyo anatumia katiba/sheria gani kukalia hivyo viti. Usikute ni mgeni mwalikwa.Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka Chadema.
Yeye aliondoka Chadema sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.
Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama Chadema na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka spika awatimue bungeni?
Cecil Mwambe alisema amehama Chadema na atagombea kupitia Ccm kwenda bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.
Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.
Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona.Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoobdoka.
Hapana ni kwa sababu ya heshima ya Dr Mwambe kwa mzee Mkapa vinginevyo angechinjwa baharini kama akina Kafulila......CCM ni chama kikubwa!Kwa ujumla anainfluence kubwa maana Ccm walimletea mizengwe akaenda kujibanza Chadema na akashinda.
Kwani Komu na Selasini wanakaa kama wabunge wa Chama gani? Maana wameshatangaza kuhama na hawatagombe kupitia Chadema. Na yeye ndio hivyo hivyo. Majibu anayo spika, acheni amalizie ili avute posho.Anakaa kama mbunge wa chama gani? Au ni mbunge wa kujitegemea? Na kama ni hivyo anatumia katiba/sheria gani kukalia hivyo viti. Usikute ni mgeni mwalikwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio bado ni CHADEMA na kwa kuwa CHADEMA ni chama cha demokrasia wameheshimu mawazo yao. Wao wamesema Bunge hili likiisha watagombea kupitia NCCR- Mageuzi lakini hawajasema kwa sasa kwamba wameshahamia NCCR- Mageuzi.Kwa hiyo Komu na Selasini bado wapo Chadema?
Ahaaa. Mtu mnatoa kwenye group la watsapp alafu unasema bado ni mwanachama wenu? Silinde je? Mwambe nafikiri hajakabidhi barua kwa spika. Alitangaza nia ya kuhama tu.Ndio bado ni CHADEMA na kwa kuwa CHADEMA ni chama cha demokrasia wameheshimu mawazo yao. Wao wamesema Bunge hili likiisha watagombea kupitia NCCR- Mageuzi lakini hawajasema kwa sasa kwamba wameshahamia NCCR- Mageuzi.
Kwenye katiba ya CHADEMA hakuna mahala pameandikwa kwamba mtu akitangaza kwamba mbele ya safari atahama chama basi anakuwa amehama chama. Mwambe alihama chama.
Tutamuuliza spika atupe majibu maana labda vyombo vya habari vilimnukuu vibaya. Ila yeye na akina Selasini bado ni wabunge. Ndio maana bado alikuwa analipwa kama kawaida.Kwa hiyo hakuna sehemu ambapo katiba imesiginwa.Komu na selasini wameamua kutoka chadema kwenda Nccr na watahama rasmi baada ya kumaliza ubunge wao
Mwambe alisema amejiuzulu nafasi zake za chama na ubunge wake.. Ni kama alivyofanya Nyarandu au je nyarandu nae anatakiwa kurudi bungeni?
Group la wabunge wa CHADEMA ndiyo chama??Mtu mnatoa kwenye group la watsapp alafu unasema bado ni mwanachama wenu?
Mipango na mikakati yote inafanyika kwenye group la watsapp. Sasa kama ni mwenzenu kwa nini mnatenga?Group la wabunge wa CHADEMA ndiyo chama??
Komu na selasini hawajarudisha kadi ya chama na hawajachukua kadi ya chama kingine chochote.hizi ni kesi mbili tofauti,bwana Mwambe amepokea kadi ya CCM mbele ya press conference.kiufupi bunge limeyumba,msitupoteze maboya kwa hoja zisizo na miguuKwani Komu na Selasini wanakaa kama wabunge wa Chama gani? Maana wameshatangaza kuhama na hawatagombe kupitia Chadema. Na yeye ndio hivyo hivyo. Majibu anayo spika, acheni amalizie ili avute posho.
Kukaa mbele ya press conference sio kuwa umerudisha kadi. Ni kutoa taarifa kwa Umma. Kwani wakati Edward Lowassa anakuja Cdm alirudisha ya Ccm? Akili zako lazima ziwe zinajiongeza mkuu.Komu na selasini hawajarudisha kadi ya chama na hawajachukua kadi ya chama kingine chochote.hizi ni kesi mbili tofauti,bwana Mwambe amepokea kadi ya CCM mbele ya press conference.kiufupi bunge limeyumba,msitupoteze maboya kwa hoja zisizo na miguu