superkabisa
Member
- Oct 13, 2019
- 67
- 49
- Thread starter
- #21
Lakini si tumejimwambafai tumenunua kwakeBeberu
Lakini si tumejimwambafai tumenunua kwakeBeberu
Wanapata Mashaka.kusifiwa na Trump au kwa sababu Trump.mwenyewe kichwa limewaka moto😂😂, mkuu umenichekesha sana, hatuna budi kushukuru Mungu kwa kila jambo liwe jema au baya.
Ni kweliukubwa haupatikani kwa " induction"
Unamanisha nini mkuu kila mtu ana namna yake ya uwasilishajiHuyu Bwana Rahisi sio mtu wa kumuamini sana kwa sasa..kichwa kimepata moto kidogo..nyie mfuatilieni tu kauli zake
Ila Mkuu Trump angetukosoa kwa kununua Ndege wakati s kipaumbele sana kama wengine wanavyosema si kauli yake msingeitumiaTrump ye ni mfanyabiashara ye amepata soko kwetu. Na hivo lazima atupongeze na atsifie ili biashara kati yetu iendelee sa kuja kutangaza huk kua umepongezwa na muuzaji wa bidhaa ni ushamba tu.
Au imetumika kutokana na wengi wenu hamuoni kama n hatua kubwaEthiopia watakuwa wamepongezwa mara ngapi, maana wana hiyo midude zaidi ya 30
Katiba yetu haijabadilika n miaka mitanoHii awamu sijui itamaliza lini muda wake
Hapana hazikuwa za kweliMimi naomba kuuliza kuna ki page flani kilikuwa kinazunguka mitandaoni kuwa Trump kamsifu Magufuli je hii ni kweli?
Lakini inaonesha muuzaji anakukubali unatoa pesa kamili si longolongoJe Ukienda dukani kununua mabati, mwenye duka akakusifu kwa kununua mabati utaenda kutangaza kitaa kuwa nimenunua mabati hadi mwenye duka kanisifu?
Kujisifu Kuwa muuzaji mkubwa anakukubali kutokana na kutomzungusha ni utoto au ushamba?Ana akili za kitoto sana huyu Jamaa. Sorry, ana akili za kishamba sana huyu jamaa.
Tutanunua ndege nyingine nyingi tu kwa kuwa TRUMP anatupongeza, halafu tukifilisika Trump atasema look the shitholes!Mzee bwana yani basi tu.
Tumshukuru Mungu hata kwa huyu maana ni somo tunapitia.
Thread closedSiku zote ukikutana na superstar ukapiga picha nae utaringishia wenzio.
Ukinunua cocaine kwa muuza cocaine, halafu muuza cocaine akakupongeza kwa kununua cocaine, umekuwa "mteja" mara mbili.Jana Ndege nyingine iliwasili nchini na hafla fupi ikafanyika kama ilivyo kawaida na Serikali ya awamu ya tano kujipongeza kwa hatua hiyo,Tuliwaona pia wanaccm wakifurahia Serikali iliyochini yao ikiongeza Ndege nyingine
Mimi ni mwanachi wa kawaida SIJAFUNGAMANA na upande wowote baada ya mapokezi yale
mtaani na kwenye mitandao hoja kubwa Kama Rais kapambana kuleta Ndege kuna watu sahihi wakuliendesha Shirka na je tumeingiza kias gani mpaka sasa hivi na tunapata faida ya kias gani kama bado uwekezaji uandelea ni lini haswa.
Lakini nzito zaidi ni hii kauli ya Rais ninainukuu kutoka mtandao wa millad ayo instagram "Juzijuzi hapa Waziri wetu alipokutana na Trump, Trump ametupongeza kwa kununua ndege Marekani na wakashikana mikono, hii inaonesha tukinunua ndege kwa wakubwa na sisi tunakuwa wakubwa wakubwa, tunamshukuru sana Trump na tunamuahidi tutaendelea kununua ndege nyingi Marekani na chaguo letu hasa ni Boeing maana ni ndege nzuri" - JPM
Kwa nini imekuwa na ukakasi je hatuwezi kuwa wakubwa,au Kupongezwa na Trump hakumaanishi tuko vizuri au wamekerwa na kauli ya kushikana mikonoView attachment 1246238
Ni u(toto)(shamba)Kujisifu Kuwa muuzaji mkubwa anakukubali kutokana na kutomzungusha ni utoto au ushamba?