Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

Dhambi ni tamu,sex ni tamu coz biological na ipo pale kwA ajili ya kuzaa

Ni tamu kweli, but unajua mshahara wa dhambi ni nn? Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
 
Inategemea mtu unaamini nini. Sikuwa na sababu ya kujuta au kujiona mjinga baada ya kuitoa bikira yangu, kwa nini nijute ilihali niliamua mwenyewe tu kuwa sasa siitaki ndio nikaitoa? Afterall why keep it!

Nasema, u respect urself, peole respect u. Bt It's ok, kila m2 ana haki ya kutoa mawazo yake. Bt nw-on jitunze plz.
 
Hivi unategemea mwanamke akae miaka 27 mpaka 30 akisubiri ndoa? Zamani watu waliolewa wakiwa na miaka 12 hadi 15 ilikuwa ni sawa kwao kusubiri ndoa. Msilinganishe mambo ya zamani na sasa watu wanakaa bila ndoa au dalili ya kuolewa kwa muda mrefu, wana haki ya kufurahisha miili yao
 
Napenda kuwauliza ndugu
zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until
muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi
yasidumu.
u have the ryt mindset though watakupinga vijana hapa
 
Thanx Afrique. But It's gud we umeelewa, just take action and teaches others.
 
'wat z bad z bad even though everybody do it and wat z ryt z ryt even if nobody do it' so jus do wat z ryt!.
 

wow!nimependa uelewa wake kuhusu hili,trust me,hutajutia maamuzi yako
 
Basi afadhali mngekuwa mnajaribiana na hizo sex tu,sijui ndio eti mnapima kina cha maji,eti msije kuta kibamia au mguu Wa tembo yote ni sawaa!! Lakini vijana wasasa mnazidi jamani mnajazana na mimba kabisa then ndio mnatangaza ndoa Hivi Mbona mna tabia mbayaaa?? Mabiharusi wengiii siku hizi lazima tumbo lileee ndio fashion au ndio kupimana kwenyewe? Natamani iwekwe sheria na Hawa viongozi Wa dini zetu,hakuna ndoa itafungwa endapo bibie tayari Ana ujaunene!! Nadhani heshima ingekaa mstari mnyoofu
 

Ur right Mr.Kwapa.
 
Tunafanya mapenzi kabla ya ndoa kwasababu MUNGU ametuwekea matamanio mapema sana kabla ya ndoa.
 
Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.

Hapa utakuwa pia unasema mbona zamani watu waliolewa bikra? ni kwasababu walikuwa wanaoa au kuolewa wakiwa wadogo from the age of around 15 na wengine 12. sasa hivi unakuta mtu anaolewa au kuoa na age of 25yrs na kuendelea inakuwa ngumu kuvumilia laiti na wazee wetu wangeoaga at this age of 25 na wao wangekuwa wamefanyaga mapenzi kabla ya ndoa na hii tungeona ni kawaida. hili swali kama ili leo lisingekuwepo.
hata ukiangalia vitabu vya dini BC watu walioana wadogo.
 
mnaozini kabla ya ndoa msisizingizie umri.na wanaotoka nje ya ndoa watasingizia nini?mbona kuna walio olewa kwenye 25 mabikra?tatizo ni mmomonyoko wa maadili
 
mnaozini kabla ya ndoa msisizingizie umri.na wanaotoka nje ya ndoa watasingizia nini?mbona kuna walio olewa kwenye 25 mabikra?tatizo ni mmomonyoko wa maadili

mkuu kamata like ya ukweli. Ni kazi ya peeepoooo mchafu,ibilisi shetani yuko kazini maana anajua hapo atawakama wengi kama inzi,Mungu ameliona hilo kawawekea ngoma/ngwengwe/ukimwi, mikaswende,vdrl,,gono lakini watu waaaaaapi! Hawaambiwi wala hawasikii. Mtu aziniye na mwanamke ni mjinga kabisa.someni sign hapo chini mnashabikia huu uziinziiiiiiiii!
 
Wasalaam wana JF!

Naomba kujua, kuna faida kiasi gani na hasara kiasi gani kama utaoa/kuolewa mke/mume kabla ya ku do SEX? Na je mtu anapoingia kwenye ndoa na mtu ameshamega miaka mingi nini madhara au hasara zitakazo kumba ndoa hiii changa na zoefu ktk kujamiana?
 
ngono kabla ya ndoa tunafanya kwa sababu ya tamaa tu...
wengi tumekuwa tukijipa moyo kuwa huwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia kwa kusikia mlio wake, lakini heshima ya mwanamke au mwanamume ni ile hali ya kuwa bikira hadi ndoa...
kwa haraka huwezi ona hasara zake kwa kuwa maamuzi yote ya kimawazo yalikuwa yanaongozwa na fikra za tamaa...
kimsingi ni kwamba hakuna faida yoyote, ngono kabla ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…