Khaa! wee mwali kwa kumtetea babuyo nakuaminia...........nakumbuka ulivyonitetea kwa bibi baada ya kunikuta nacheza rugby na kale karafiki kako ulokuja nako wakati uko likizo ya fom srii.duhhhhh
Huruma kidogo basi ..
babu ana mbavu mbili tu uje umpe tackle..
halafu dahhhhh...
naona unajiitia CSI... ngoja nkimbie...
Afro can do bettera a....hebu nielezee.....
Sasa siyo mnacheza Rugby afu mnaachana na vitumbo vimevimba. Afrodenzi aliniahidi uzao wake wa kwanza lazima abinjue mapacha watatu lakini siyo wa CCM...........Vigezo na masharti kuzingatiwa.
hizi lugha hizi, naona hii itakua sababu ya kuachwaduhhhhh
Huruma kidogo basi ..
babu ana mbavu mbili tu uje umpe tackle..
halafu dahhhhh...
naona unajiitia CSI... ngoja nkimbie...
Mkuu Aspirin,unamwelewaje hapa mjukuu wako AD?
Nipo ndani ya maada maana Rugby inachukua nafasi si ndio?
Ngoja nitoe sababu moja ya watu kuachana "Kufumania"
Kwa hiyo ODM unaniambiaje hapa kwa Afro? nisimuache si ndio?
:hat:Kwa hiyo ili tusiachane tuache kufumaniana siyo?
Yeyote yule amfumaniaye ampendaye anatenda zambi juu ya nafsi yake, Asema ODM , na hataurisi ufalme wa Rugby ya kitandani. Watu wote waseme Amina.
on heat? oooooooooooops!Haka kajukuu kakiwa kwenye siku zake za kwenda angani huwa sikaelewielewi..... ngoja nifanye unajimu kwanza.......
AD unajua babu yako Aspirin atakutia bakora leo?mmmhhhhh Bishanga
michezo yote mitamu lazima kuna ku tackle....
Haka kajukuu kakiwa kwenye siku zake za kwenda angani huwa sikaelewielewi..... ngoja nifanye unajimu kwanza.......
Tena usisahau kuninywesha kwa lile bilauri uliloniagizia toka Shanghai.....nami ntakuwa nakukagua wakati unaninywesha ili nguvu iongezeke zaidi na zaidi........
hahahahaahah kuna ile nyingine ya Dubai ile hujawahi kutumia..
Khaa! wee mwali kwa kumtetea babuyo nakuaminia...........nakumbuka ulivyonitetea kwa bibi baada ya kunikuta nacheza rugby na kale karafiki kako ulokuja nako wakati uko likizo ya fom srii.
hivi kumbe mlicheza rugby ...
akiachwa mi sipo...
Mie niliamua tuachane kwa 7bu mwenzangu alibadilika na kuwa mlevi wa kupindukia ikawakila wakati ni kugombana mwisho wa kugombana napokea kichapo,yakanishinda nikasepa!Mto Mada ndo anataka kujua hizo sababu nini? Msaidieni mie sijawai kuacha wala kuachwa kawa hiyo sina sababu!
hizi lugha hizi, naona hii itakua sababu ya kuachwa
ahahhahah! Asprin umevunja mbavu zangu!!nimekumbuka sayansi darasa la tatu: "maada ni kitu chochoche chenye uzito, ujazo na kinachochukua nafasi" mwisho wa kukariri. Ahsante mwalimu pyuza.
sababu ya kuachana?sijaacha , zijaachwa..
tumeachana...🙂
AD unajua babu yako Aspirin atakutia bakora leo?
Ndo yule yule ulimdanganya kama una Ngoma? au mwingine?Mie niliamua tuachane kwa 7bu mwenzangu alibadilika na kuwa mlevi wa kupindukia ikawakila wakati ni kugombana mwisho wa kugombana napokea kichapo,yakanishinda nikasepa!
sababu ya kuachana?
Amin amin nakuapia, ODM hatakuacha tena kamwe.... atakuwa anakukagua kila mara uhitajipo huduma ya ukaguzi... ngoja babu akanunue mafuta ya masaji....matatizo ya kuachana na kutopata upendo wa babu kwa muda..