idaz
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,099
- 982
Pemba..sababu..dini..tamaduni.Mtoa mada naomba niunganishe na hili swali pia, Je ni mkoa gani ambao hauna waathirika wengi wa Ukimwi na nini sababu ya kutokua na idadi kubwa ya waathirika wengi kwa mkoa huo?