Njombe hueda baridi kali inachangiaSawa mkuu, hiyo ni takwimu ya "majiji" ya Africa ingawa hatuna authenticity ya hizo takwimu. Ila kwa Tanzania bado Njombe inaongoza.
Njombe hueda baridi kali inachangiaSawa mkuu, hiyo ni takwimu ya "majiji" ya Africa ingawa hatuna authenticity ya hizo takwimu. Ila kwa Tanzania bado Njombe inaongoza.
Ni kwasababu uku kuna baridi kali alafu watu wanalewa sana na wanapo fanya mapenzi hawatumii kinga yani kondom pia na tohara ndio imeanza sasa ya kuhamasisha mkoa wa njombe na wilaya zake alafu kitu kingine wilaya za mkoa wa njombe zina watu wachache kwahiyo kuna kuzungukana mfano ukienda makete,ludewa ni wilaya zenye idadi ya watu wa chacheView attachment 461162
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI.
Swali langu ni la kidadisi(curiosity). Napenda kusikia toka kwa wataalamu na watafiti(kama tafiti zipo), kwanini isiwe majiji na mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza, Mbeya n.k? Kama awali ilikuwa mkoa wa Kagera ndiyo ulioripotiwa mgonjwa wa kwanza na baadaye kuwa na waathirika wengi, ilikuwaje HIV iliruka mikoa ya hapo kati(Shinyanga, Tabora, Dodoma, Singida...) na kuufanya mkoa wa Njombe kuongoza?
Kama ni tohara kwa wanaume je, ni mikoa mingapi Tanzania hii walichelea kufanya tohara? Kwanini mikoa hiyo haijaathirika kiasi hicho? Japo kwa zamani(ninavyokumbuka) wilaya ya Makete(Njombe) ndiyo iliyokuwa ikiongoza na kwa sasa sina taarifa rasmi, bado ni jambo ambalo sina majibu yake, ilikuwaje mkoa wa Njombe uongoze kwa maambukizi?
Naomba wenye kufahamu majibu ya swali langu la msingi wanisaidie.
Kwanini Njombe?
Sitafuni tena binti wa Njombe!
Kwanini kuwe na hospital nyingi while population ni kidogo?
.......Sikutegemea kuona swali la namna hii!Mtoa mada naomba niunganishe na hili swali pia, Je ni mkoa gani ambao hauna waathirika wengi wa Ukimwi na nini sababu ya kutokua na idadi kubwa ya waathirika wengi kwa mkoa huo?
Nadhani mkoa wa manyara ndio una idadi ndogo zaidi ya waathiririka Tanzania.Mtoa mada naomba niunganishe na hili swali pia, Je ni mkoa gani ambao hauna waathirika wengi wa Ukimwi na nini sababu ya kutokua na idadi kubwa ya waathirika wengi kwa mkoa huo?
Kwanini Mkuu?.......Sikutegemea kuona swali la namna hii!
usiwe na akili mgando,manyara ni kijimkoa kidogo sana kilichomeguliwa,huwezi fananisha na pwani ambayo ni kubwa balala,so tukienda kwa ratio ya population against maambukizi utakuta pwani wana 0.00 na hata maambukizi ya pwani wanaoleta ni hao hao maana tunawaona wanakuja kusoma then hatuwaoni wakirudi kwao tunabanana hapa hapa mjini,rudini kwenu porini mkachunge ng'ombe msituletee ukimwiManyara inaongoza kwa Tanzania kuwa na wastani wa 1.5 na wakati wenyeji ni wakristo karibu wote, acha uongo mkuu.
mbona mkipata chance ya kuja huku hamrudi kwenu...kubali kati ya haya mawiliHiyo Mikoa yenye Waislam wengi ndiyo inaongoza kwa Mabwabwa
nenda ofisi ya takwimu wakusaidie,mimi takwimu zangu naangalia rate tu,ukimwi ukiwa mwingi basi wakristo ni wengi,ushahidi wa hilo angalia kidunia utaona nchi za waislam waarabu kama saud arabia ndo utapata jibu,yani ukimwi ni 0.0%Njombe inaongoza kwa idadi ya wakristo Tanzania nzima?
Unaweza kutusaidia uwianao wa idadi ya wakristo na dini nyingine kwa jiji la Dar, Arusha na Mwanza?
Bora nihamie pemba
sio Taree...ni TALE.....umesahau Sangamela......Equator nako hakuko nyuma kwa wahudumunyinyi hamuijui njombe.... Ukibahatika kufika njombe ulizia bar moja inaitwa TAREE.. Japo zipo nyingi ila hii ndio kiwanja kikubwa cha ufuska.. Ngono na pombe kwenda mbele.
halafu sababu kuu ya ugonjwa huu ni kwamba...bar nyingi za njombe zina tabia ya kubadilishana wahudumu..mfano baa A inawahudumu wakaliii basi kila kijana ataenda pale bila kusahu kuwa vijana wa pale wana pesa sababu ya biashara za mbao na mazao,
baada ya muda fulani kila kijana atakuwa kesha wazoea wale wahudumu hivyo watahama bar kwenda baa ya jirani kufata huduma, mmliki wa baa A ataongea na mwenye baa B labda makambako au mbeya na kubadilishana wahudumu, wa baa A wakoenda kule Bwataonekana wakaliii baa itajaa na ngono kuendelea na wale na hivyo hivyobkwa baa B.
hawa wahudumu husambaza ugonjwa kwa watu wa rika zote na hao watu hupeleka majumbani mwao.
Njombe wadada wachache sana na sio wazuriiii...
ila ukienda baa unakutana vyombo vya maanaa..ukisafiri ukirudi unakuta wale wahudumu hawapo ila kuna wakali zaidi ya wale...halafu pesa unayo matunizi hakuna kule.
Sehemu za kutumia hela ni pale kwa mfunye,tarree na agreement hotel...hakuna pengine sasa kwann usivute kahudumu kamoja...ukatafune taratibu huku ukipata kajoto na kaukimwi kwa mbali...
utumie pesa yako kwa uzuriii
mlima Kitonga uko Iringa mkuu ni mbali sana na Njombe.....Kwa ufahamu wangu japo wawezakua mdogo...ni mlima kitonga unaopatikanna maeneo ya njombe ambayo zamani ilikua mkoa wa iringa...katika biashara ya usafirishaji wa mizigo kwa njia ya nchi kavu kuelekea nchi za jirani,magari mengi sana yalikua yakipita iringa road na kwasababu ya umbali na mwendo wa masaa mengi kutoka bandarini dar,madereva wengi walijikuta wakiingia maeneo ya njombe muda wa jioni...na kwa jinsi nilivyosikia ilitokea gang ya waporaji waliokua na uwezo wa kuamisha vitu kutoka gari moja kwenda jingine kipindi gari likipanda mlima kitonga kiasi cha kwamba mpaka dereva kuumaliza mlima anawezakuta mzigo mzima umekwishaporwa..Na ndipo madereva wengi wakasitisha kuupanda mlima ule kipindi cha usiku naendapo ikitokea wamechelewa basi wanaweka kambi mjini jirani na ule mlima.Na kama tunavyojua tabia za madereva wengi pamoja na wasaidizi wao...wanasifa kuu ya ulevi + wanawake...na ndipo wakajikuta wanafanya mapenzi na wamama na wadada wa maeneo yale kwa kipindi cha usiku wanapokua pala...na mwisho wasiku kwa jinsi mji ule ulivyo mdogo unajikuta mwanamke mmoja anawezatembea na wanaume zaidi ya wanne wa aina tofauti tofauti..Na hapo ndo chanzo kikuu cha kukua kwa uenezaji wa vvu kwa mkoa huo mpya.
why..unguja na pemba kuna rate ndogo?and 99% ni muslim...inawezekana ukiristo na mafunzo yake ikawa tatizo ......
Sijasema Zanzibar inaongoza kwa maambukizi mimi ndiyo uniulizie takwimu,nilichokuwa nakipinga ni wewe kudai hakuna ukimwi ilhal watu tunajua Zanzibar ukimwi upo.
Pemba..sababu..dini..tamaduni.
nenda ofisi ya takwimu wakusaidie,mimi takwimu zangu naangalia rate tu,ukimwi ukiwa mwingi basi wakristo ni wengi,ushahidi wa hilo angalia kidunia utaona nchi za waislam waarabu kama saud arabia ndo utapata jibu,yani ukimwi ni 0.0%