Kwanini Mkenya haoni tatizo kupenga Kamasi wakati mnakula au kutupa Pedi barabarani?

Nafikiri hizi ni tabia za watu binafsi hazina Ukenya wala nini, sielewi unahusisha vipi nchi yeote na tabia za watu kadhaa uliokutana nao. Bongo nimeona maeneo watu wanachamba kwa vidole na maji baada ya kuharisha, sasa sijui huo ni utamaduni wa nchi yote au. Maana kuna wakati hayo maji yanaadimika, sasa sijui hiyo shughuli mnaitekeleza vipi wakati maji ni machache.
Hahaha. Acheni tabia za Uchafu nyie jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom