GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,173
Nyumba za Kupanga 'Uswahilini / Uswazinyo' mnaweza 'mkafichana' Jambo Mkuu? Tatizo lenu 'JF Members' wengi mnaishi Oysterbay na Masaki tu.Umetupiga Shigongo hapa. Haya yote yanafanyika wewe unasikiliza tu.
Mkuu yaani kwa jinsi Mkewe ( Mwanamke ) huyu alivyokuwa 'siamini' kabisa kama ndiyo huyu ninayemuona hivi sasa. 'Pesa' na 'Ubolo' ni HATARI!Hahaha hakika vizuri sana kauli moja ngum ni hiii pesa ndoo kila kitu katk ulimwengu huu wa sasa na kufoka kwa huy mwanamke ni kutaka kulinda tuu penz lake na sio kingine na ndoo.maan akapata furaha baada ya kushiriki tendo
'Uzi' gani huo Mkuu? Tafadhali hebu ingia kisha niite ili niuone na pia niweze 'Kuuchangia' na kama kuwa wa kuwapa 'Dozi' zao 'murua' niwape pia.Unaitwa ukajibu hoja...kuna nyuzi yako huko....haahaa..sio unafuatilia maisha ya watu tu,na maisha yako washafuatilia
Mkuu yaani kwa jinsi Mkewe ( Mwanamke ) huyu alivyokuwa 'siamini' kabisa kama ndiyo huyu ninayemuona hivi sasa. 'Pesa' na 'Ubolo' ni HATARI!
How many times you have 'applied' it to either your 'Helpmate' or 'Ladylove' Chief?Mkuu. Hiyo njia ni sahii kwa 300%
Sasa kama 'Vyumba' vyetu tu vyenyewe hapa / huku 'Uswahilini' nilikopanga juu hakuna 'Paa' nitaacha Kuvisikia 'Vitimbi' vyote hivi 'Mkuu' wangu?πππ ila we nawe acha kuchungulia kwa watu..na kumpa pesa ulishuhudia..π€ we noma.
More than 10 timesHow many times you have 'applied' it to either your 'Helpmate' or 'Ladylove' Chief?
Kwahiyo Mwanamke 'mbunifu' si anaweza akatumia 'Mbinu' ya 'Kumlengesha' Mumewe kwa 'Mahara' ili awe anajipatia Pesa hivi kila mara Mkuu au?Ndiyo hvy siku za kizazi hiki pes na mapenzi ndoo kiko katika akili za wengi
You seem to be a typical 'Womanizer' Chief.More than 10 times
Ukaamua upande juu uchungulie anavyopewa pesa..!!ππSasa kama 'Vyumba' vyetu tu vyenyewe hapa / huku 'Uswahilini' nilikopanga juu hakuna 'Paa' nitaacha Kuvisikia 'Vitimbi' vyote hivi 'Mkuu' wangu?
Wacha umbeaHii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo 'Hawara' akimuunganisha na Mumewe siamini ninachokiona hivi sasa.
Baada ya 'Mbwembwe' zote hizo za Mkewe Jamaa ( Mumewe ) Yeye muda wote alikuwa 'ametulia' tu 'tuli' na muda mwingine 'akikanusha' huku 'akimbembeleza' Mkewe na taratibu nikawa naanza Kumsikia Mkewe ( Mwanamke ) Sauti yake ya Kufoka, Kugomba, Kukashifu na Kutukana ikipungua kadri dakika zilivyokuwa zinayoyoma na Mumewe akiendelea 'Kuguguma' zake tu.
Kilichotokea baada ya hapo nikamsikia Mwanaume ( Mumewe ) ameomba waende Chumbani ambapo hapo hapo tena nikaisikia Sauti ya Mwanaime akimuomba Msamaha Mkewe ( Mwanamke ) halafu akampa 'Pesa' kisha nikasikia 'Ukimya' wa muda ( wa Kimkakati ) ulioashiria kuwa walikuwa 'Wakifanyana' na baada ya hapo hadi hivi sasa Mwanamke naona ndiye mwenye Furaha, akipika na Kuimba pia tofauti na awali.
Je, hii mbinu itumike kwa Wanaume wengine pale 'wakihitilafiana' na Wake / Wapenzi Wao au inategemea na Mwanamke na Kosa lako ulilofanya?
Kwahiyo Mwanamke 'mbunifu' si anaweza akatumia 'Mbinu' ya 'Kumlengesha' Mumewe kwa 'Mahara' ili awe anajipatia Pesa hivi kila mara Mkuu au?
Kwanini heading za threads zako zinakuwa na maelezo marefu sana?Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo 'Hawara' akimuunganisha na Mumewe siamini ninachokiona hivi sasa.
Baada ya 'Mbwembwe' zote hizo za Mkewe Jamaa ( Mumewe ) Yeye muda wote alikuwa 'ametulia' tu 'tuli' na muda mwingine 'akikanusha' huku 'akimbembeleza' Mkewe na taratibu nikawa naanza Kumsikia Mkewe ( Mwanamke ) Sauti yake ya Kufoka, Kugomba, Kukashifu na Kutukana ikipungua kadri dakika zilivyokuwa zinayoyoma na Mumewe akiendelea 'Kuguguma' zake tu.
Kilichotokea baada ya hapo nikamsikia Mwanaume ( Mumewe ) ameomba waende Chumbani ambapo hapo hapo tena nikaisikia Sauti ya Mwanaime akimuomba Msamaha Mkewe ( Mwanamke ) halafu akampa 'Pesa' kisha nikasikia 'Ukimya' wa muda ( wa Kimkakati ) ulioashiria kuwa walikuwa 'Wakifanyana' na baada ya hapo hadi hivi sasa Mwanamke naona ndiye mwenye Furaha, akipika na Kuimba pia tofauti na awali.
Je, hii mbinu itumike kwa Wanaume wengine pale 'wakihitilafiana' na Wake / Wapenzi Wao au inategemea na Mwanamke na Kosa lako ulilofanya?
Kama Magawa ( Panya ) tu akiwa anafunua 'Masufuria' Chumba cha Pili huwa nasikia nitashindwa Kusikia anachokifanya Binadamu Mwenzangu tu?Ukaamua upande juu uchungulie anavyopewa pesa..!!ππ