umbeya huo na fitina zenu sasa munataka kumsafisha mkatoliki wenu mkapa kuwa hahusiki na ufisadi!!!!! Wacheni unafiki na kutuletea habari zisizo na chanzo na zenye harufu ya uoga!!!
imekuaje mkapa azungumzie epa akiwa nje ya nchi! Mbona akiwa nyumbani hafungui domo lake na zaidi tunaambiwa tumwache mzee apumzike!!!
habari hiyo imekaa kiumbea umbea na hata alieileta anaonekana amekaa kiumbea umbea!!!!!
Ndugu yangu Zubeda usijadili mambo yenye maslahi kwa taifa kwa kuweka mbele udini! kama mkristu au muislamu kaibia nchi huyo hafai kutetewa iwe kwa dini yake,kabila lake au rangi yake! Fisadi ni fisadi tu awe mkatoliki au mlokole au muislamu au mnyakyusa au mkwere au mhindi au mzungu!
Ukiweka udini tu kwenye mambo ya msingi kama haya unaonyesha jinsi ulivyo na mtindio wa ubongo maana huwezi kufikiri kama binadamu mwenye akili timamu ila fikra zako zinaona dhambi akifanya mtu wa dini ambayo hauko wewe! huu ni ujinga sana najua hata utaenda kupiga kura kwa udini pia!
Unaonyesha huna uchungu wala uzalendo kwa taifa lako bali una uzalendo kwenye affiliation yako ya dini! nimechukizwa sana kuona Dada sijui Kaka Zubeda uko low namna hii!
Tutafika kweli tukiwa na akina Zubeda asilimia 80% katika nchi hii? si tutabaki hapa tulipo milele? Tafakari Zubeda na chukua hatua!