Kwanini Mkapa hakuzungumzia EPA hadharani

Japo source is occult ukiangalia timing ya EPA, mtiririko wa matukio na uchaguzi wa 2005 waweza tumia bongo kuunganisha lines na kupata mwanga. Nadhani ndo maana JK anapata kigugumizi kuongelea EPA au ufisadi kwa ujumla kwani anajua kuna nini nyuma ya pazia.
Taarifa zaidi zinahitajika.
[/B]
Hilo ni kweli mkuu, tena hii ukiangalia kwa undani ni kama vile mzee mzima en ameamua kushusha donge lake hapa! si ajabu ndo kapost hii
 
Che-nkapa asituzingue hapa yeye aliapa kuilinda katiba ya Jamuhuri ya Muungano kama alitishwa hayo ni maswala yake i.e. hakukubali kuilinda katiba na sasa anataka kulia nyau. Mjinga sana huyu ndiye wa kwanza kuwekwa ndani mara serikali mpya itakapochukua madaraka.

Hiyo ndio tunaita babaisha b w e g e ... .... ..... ....
 
I'm glad that you now know who's responsible for all these allegations. No indian was mentioned here. As I've been over and over saying, indians have nothing to do with corruption in this country. We mind our own business and work hard

Mnalipa kodi kwenye biasharaenu? Au mnachangia CCM kisha mnakwepa kulipa kodi, sema ukweli.
 
[/B]
Hilo ni kweli mkuu, tena hii ukiangalia kwa undani ni kama vile mzee mzima en ameamua kushusha donge lake hapa! si ajabu ndo kapost hii


Hahahaaaaa, usitafute kunichonganisha na watu, mie msukuma tu nakaaga Mwanza. Lengo tujaribu kudadavua tuunge Doti tunaweza kupata vitu kamili.
 
Nasikia na hiyo Hoteli ya Malaika Mwanza ambayo inayodaiwa kumilikiwa na Mhindi mmoja anayeitwa Manoji ni yake kwa Ukumbusho wa Codename yake ya Ikulu ya Malaika.
Hii tetesi nimeisikia sana ikivuma ndani ya Viunga vya JIJI la mwanza..wanasema lisemwalo lipo kama halipo Laja..mkuu wa kaya alikuwa na ziara nyingi sana mkoani mwanza kipindi alipochaguliwa huenda alikuwa anakuja kufwatilia maendeleo ya mjengo..najaribu tu kuunganisha dots.....
 
Kama ni kweli basi hatuna nchi maana hao wote waliokuwa nyuma yake ndio muda wao sasa kulipwa fadhila. Naililia nchi yangu
 
Back
Top Bottom