Kwanini mizinga toka kwa wanawake imekuwa ya hatari?

Kwanini mizinga toka kwa wanawake imekuwa ya hatari?

duh, shida yote hii ni kutaka kusuuza rungu, kweli k ni mtaji tosha, nashangaa sana kuona binti anasema vyuma vimekaza
 
Si mnajifanya mahari ni kubwa hamuwezi kuoa? kumbe hizo unazotoa kidogokidogo ni mara 200 ya mahari!!! pigweni tu mizinga kwa kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom