issaaman
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 1,146
- 1,381
Habari waungwana
Leo nataka niwajulishe wasichana au vibinti vimekuja na mpya
Vinapiga mizinga ya nguvu kadri siku zinavyokwenda
Siku ya kwanza
Baby sina vocha
Nitumie vocha
Siku ya pili
Baby nitumie 10000
Nataka kwenda saloon
Siku ya tatu
Baby nimeishiwa na vipodozi
Nitumie 20000 nikanunue
Siku ya nne
Baby nadaiwa kodi ya nyumba
Nitumie 300000 nilipe chumba
Miezi 6
Siku ya tano
Baby kuna kiwanja mbagala
Kinauzwa 5million naomba uninunulie iwe ukumbusho wako
Je unadhani utapigwa mzinga gani?
Siku ya 6.,,,
Siku ya 7,,,,
Siku us 8,,,
Ebu tiririka kwa tamaa aliyokuwa nayo aweza kutaka nini siku zinazofata?
Wadau karibuni mutujuze